Jaji Frederick Werema

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,MH. DR. JAKAYA MRISHO KIKWETE,AMEMTEUA JAJI FREDERICK MWITA WEREMA KUWA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI MUDA MFUPI BAADA YA KUAPISHWA KWAKE LEO KATIKA UWANJA WA UHURU JIJINI DAR.

JAJI WEREMA ANAPATA NAFASI HIYO KWA MARA NYINGINE KUENDELEA NA WADHIFA HUO AMBAO ALIKUWA NAO HAPO AWALI.

TUTAENDELEA KUJULISHANA ZAIDI KADRI TAARIFA ZITAKAVYOKUWA ZINATUFIKIA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Doo! Nshakosa ulaji kudadeki.

    ReplyDelete
  2. MKOA WA MARA HOYEEEEEEEEEEE

    HONGERA NANA NDUGU YANGU.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...