We Ankal, We have puppies that we sell at our home located near Coca Cola Kwanza Bottlers at Mikocheni in Dar es salaam. For now we have the above Maltese and Pomaranian breed. The price is makubaliano.
Our contacts:
0784-844551-0715-844551
KARIBU SANA






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. mwe!mwe!Kamwene!ngoja biashara aione akina majid Mjengwa,watanunuliwa sasa hivi na sikuu ya Noel inakuja

    ReplyDelete
  2. son of alaskaNovember 16, 2010

    wewe shayo,unachukua first world thesis na kuforce their application on third world economies-exactly how does a credit driven society survive katika society zetu-demand and supply(markets)zetu will force defaults on an unprecidented scale resulting in the little economy we have being dragged down the drain

    ReplyDelete
  3. Angalia matumizi ya lugha za watu, tunajua inawawia vigumu kutamka "r" kwenye "l" lakini jitahidi basi kwenye kuandika! Neno sahihi ilikuwa uandike breed = mzao na sio Bleed = kuvuja damu ( ama kuwa kwenye siku kwa akina dada)

    ReplyDelete
  4. bei gani..naomba useme mimi nahitaji wawili ...lakini ni pure breed au ni mixed..

    ReplyDelete
  5. Hicho Kitoweo safi sana huko Iringa. Tena hao wa kizungu!! Mchuzi wao raha kweli!! Hahaha, sema bei sisi tujipatie kitoweo cha Idd!!

    ReplyDelete
  6. Hongera hii ni hatua kubwa mambo haya yapo kwa wenzetu sana. Haya tutakutafuta kwa namba ulizoweka hapo

    ReplyDelete
  7. Bro Michuzi, mimi niko hapa dar na nahitaji breed ya rottwailer and/or pitbull for my added security. Kama kuna mtu anauza puppies wa breed hiyo aweke ad yake hapa nitamtafuta.

    ReplyDelete
  8. Ntaka kujua hii breed inafaa kwa ulinzi au ni kwa mapambo tu!

    ReplyDelete
  9. Do u still have the pomerians?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...