Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Afrika bwana!....Ama kweli maisha hayana thamani Afrika!...Na kuna watu watakuambia ati hii ni "Rehema ya Mungu"

    ReplyDelete
  2. THIS IS HORROR VIDEO, NAINASIKITISHA SANA KUWA NISISI WENYEWE KUANZIA ABIRIA NA DEREVA NDIO WANAO SABABISHA MAAFA KAMA HAYA. INASIKITISHA SANA TENA SANA.

    ReplyDelete
  3. Hapa ndipo tunapopata cheti cha kufuzu upumbavu na ukatili kwa watu weusi,tukiambiwa watu weusi ni wapumbavu tunakunja ngumi,kuna mambo mengine huwa yanafanywa na mtu mweusi tu.Mimi sina maoni mengine zidi ya kuomba kwa mungu hatuhurumie na kutuma Akili,upendo na kujali wenzetu.

    ReplyDelete
  4. ama kweli mola atulinde. wengi wetu tumepanda sana gari namna na hasa wakati wa kwenda kucheza mpira mechi za mbali kidogo.

    ReplyDelete
  5. Walikuwa wameshiba PILAU hao.

    ReplyDelete
  6. Hii ilitokea Kenya na niliiona kwente Tru TV hapa USA. Wanasema hakufa mtu hapo kwa bahati nzuri ila ni kitu cha hataru sana kupakia watu kwenye Pick-up. Umaskini mbaya sana!

    ReplyDelete
  7. Kmamake dereva alikuwa anafanya uzuri na roho za watu.Hii ajali haikusababishwa na chochote bali uzembe wa dereva wa kushindwa kuwa makini barabarani.Yes,pickup ilijaa kupita kiasi lakini ukiangalia dereva alifanya madoido ya kwenda kushoto-kulia katika mwendo wa kasi kisha akashindwa akalost control.Haki ya nani hawa madereva wanaosababisha ajali za kipumbavu wanatakiwa wafungwe vifungo vya maisha iwe fundisho kwa wengine.

    ReplyDelete
  8. Msikize huyo mama aliyekuwa anarekodi. Anauliza ati hii gari inaendeshwa na mama?

    Kumbe kina mama wanajua kuwa hawawezi kudrive!

    ReplyDelete
  9. KWA KWELI MUNGU TUSAIDIE WAAFRIKA TUPATE AKILI ZAIDI. INASIKITISHA SAANA SAANA

    ReplyDelete
  10. pick up si gari za abiria jamani, ni gari za mizigo!!!idiot people.loh.

    ReplyDelete
  11. Hii ni sababu ya umasikini. Hakuna usafiri wa kwenda nyumbani. Mtu afanyaje. Atapanda akipatacho. Dereva naye anawahi kufika ili apakie wengine ili apate pesa zaidi. Huko ulaya na marekani wanautajiri wa kupeleka basi tupu bila ya abiria ndio maana wanasheria kali. Je unataka mtu aende kwa miguu kutoka Posta mpaka Segerea?

    ReplyDelete
  12. Nilikuwa najaribu kuchanganua "tuepukane na ajali"
    halafu nikajaribu kufikiria neno ajali halafu utaiepukaje.
    Nini maana ya neno ajali?

    ReplyDelete
  13. MWANANGU AMEWAMWAGA KAMA MAHINDI JAMANI UMEONA ILIVYO BINUKA SAMASOTI HUYO DADA AMENICHEKESHA AMESEMA SI NI KAMA MOGADISHU HALAFU ANAULIZA NI MAMA ANAENDESHA GARI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...