Kaka Michuzi Poromosha hili Poster Kwenye Blog yako ya nguvu.
Party Ya Kumaliza Mapepa Yote Jijini Mysore, India Ucku Wa Leo.
Ndani ya CLUB T N T
Asante Sana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Aah acha kutuyeyusha bro,toka lini paper za india zikawa stress,paketi ya chauro au pariki zinatosha kuwatuliza...kwishnehi
    mdau wa istanbuli

    ReplyDelete
  2. ivi wewe 03:12 AM
    paper za india? ina maana vyuo kila nchi mapepa yao yana tofauti? Mimi nimesoma India na Ujerumani...Ugumu pale pale...ni chuo na chuo bro...usiwe na akili finyu

    ReplyDelete
  3. ivi wewe 03:12 AM
    paper za india? ina maana vyuo kila nchi mapepa yao yana tofauti? Mimi nimesoma India na Ujerumani...Ugumu pale pale...ni chuo na chuo bro...usiwe na akili finyu
    Acha kuuza makapeti Istanbul...

    ReplyDelete
  4. mdau jan 09, 09:00:00 pm umenena. Mwambie huyo mdau wa istanbul aje huku india aone shughuli yake... kazi kusema asiyoyajua tu. Hiyo yenyewe inaonyesha hajaelimika, anasoma tuuu ili ajikwamue na kuuza kapeti kwi kwi kwiiii!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...