Hii ni blogu yenye mtazamo wangu na sayansi ya fizikia ya kiatomiki..(kama nitakuwa nimepatia) nina maana ya quantum physics. nataka kuamsha changamoto kwa wenye vichwa vya sayansi walioko katika vyuo vikuu vya Afrika kwa ujumla kwasababu waafrika tumekuwa watumizi wakubwa wa teknolojia na hivyo kutufanya sie kuwa ni soko kubwa kwa makampuni ya nje kuanzia mambo ya vifaa vya mawasiliano na hata vifaa vya matumizi ya nyumbani, mashambani, mahospitalini na kila mahala. tunachokosa ni ufahamu wa ndani wa teknolojia hizo. sizungumzii jinsi ya kuripea simu ama friji lako likiharibika bali misingi hasa ya teknolojia hizo. lengo langu ni kuwasha moto wa fikra kwa wasomi wetu walioko Afrika na kwengineko duniani tuweze kujiunga na kumiliki japo sehemu ya ukuaji wa teknolojia hizi. ahsante.

Mdau Mwanafunzi.

Me and Quantum physics
http://i-quantumphysics.blogspot.com

---------------------------------
Globu ya Jamii inatoa pongezi kwa mdau mwanafunzi kwa hatua hii ya kuanzisha libeneke ambalo sio la habari na matukio bali la fani anayosomea. Ni changamoto nzuri kwa wote wenye nia ya kuanzisha libeneke, kwani kuna dhana kwamba libeneke ni kwa ajili ya habari na matukio tu. kumbe unaweza kuzungumzia mambo kibao unayoyajua bila kuwa na hofu ya kuishiwa matirio ama kukopi na kupesti mambo ya wengine na kuua maana ya libeneke.

Hongera sana natumai wadau wengine wataiga mfano wako na kuanzisha libeneke la mambo tofauti tofauti.

-Michuzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Hey Mdau Mwanafunzi,

    I am really not in to quantum physics, but I went to glance at your blog, man that is cool. I actually liked the plasma concept, and the topic on sharing knowledge, afterall, sharing is caring.

    Big up sana, mi ntakua napitia, I too have a blog, started it three months back, its kinda random. But just this week I was thinking of changing it to Machine learning based IPgeolocation in cloud computing and the security impact it brings. Hii ni field ya research ambayo nimeanza kama wiki tatu zilizopita for my masters, but its very very interesting.

    As you said, sisi African scholars are not motivated, and it starts with us. Afica nzima hakuna chuo hata kimoja chenye Planetlab node, wakati this is the hot stuff and all research guys in cloud computing are using Planetlab data. yani huo ni mfano mmoja tu.

    you may check out my blog here;

    http://helena-thefocus.blogspot.com/

    thanks man,
    Mwanafunzi mwingine.

    ReplyDelete
  2. Dear Michuzi blog moderator, or whoever posted this post. I dont think you are doing us a fair deal, how can you put a greyed link here? how do you expect one to visit the i-quantumphysics blog if the link is not active and copying is deactivated? yaani sisi tuanze kukopi herufi mojamoja? anyway may be am wrong! but I strongly feel you guys need to rectify that. have a good day.

    ReplyDelete
  3. Annony wa 06:48:00 AM,

    In this world no one expects you to know everything, and that is why people do ask questions.

    Instead of whining and grumbling in your paragraph with words like.."how do you expect us..." you should actually ask a simple question like this...

    "Dear Michuzi am trying to copy the i-quantumphysics blog link but the copy option is disabled and I cant directly click it because it is not active. Please help."

    Okay baada ya hayo naomba nikujibu swali lako. Select the link, then hold Ctrl and C together on your keyboard. Open your browser, and paste the link. Kwenye ku-paste you can use the keyboard shortcuts Ctrl and V au waweza tumia mouse kama tulivozoea.

    Hope nimekusaidia.

    ReplyDelete
  4. Ebwanaee, ndio!

    Inapendeza sana na nakutakia kila la heri. Tutakuwa tunapigana vikumbo huko jamvini.

    Ziko wapi blogs za maprofesa wa vyuo vyetu (wakijadili fani zao)? Tunahitaji blogs kutoka Bongo zitakazokuwa zinachambua uchumi (wetu), mwelekeo wa sayansi kwa ujumla (bailojia, kemia n.k.)

    Jumamosi njema!

    PS: Tuchungulie mara moja-moja http://vijana.fm/

    ReplyDelete
  5. Mdau wa 12.06 una busara. Safi.

    ReplyDelete
  6. Anonymous 12:06:00

    Thank you for your help in the last paragraph. You have however committed the same mistake I committed(if really was a mistake). My concern was - cant they make things easier to us by letting the link active? My parlance didnt have traces of whining or grumbling as you have un-reasonably attacked the innocent me. Well, my congratulations to the quantum physics guy and all computer geeks (u inclusive)!

    ReplyDelete
  7. Hey there,

    Impressive work on your blog. I love the fact that it's on science and to be specific "quantum physics". It's time we understand our universe from the scientific point of view and drop the religious myths as to where the universe is from, begining of time et cetera.. I think i'll learn a lot from it. I wish you all the best.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...