Mwandishi wa Habari Mkongwe wa kampuni ya the Guardian, Mpiganaji Tryphone Blassius Mweji (katikati) akitunukiwa tuzo ya kuwa Mwanachama wa Heshima wa Klabu za Lions ( Lions club International honorary member) kutoka kwa Gavana Wilson Tumwine wa Uganda, kwenye hafla iliyofanyika jijini Dar. Anayekabidhi tuzo hiyo kwa niaba ya Gavana ni Mwenyekiti wa Baraza la klabu za Lions za Uganda na Tanzania, Bw. Safdar Jaffer

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...