Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. wakristo watupu lakini waislamu hatupigi kelele, lakini ingekuwa kinyume chake ungesikia wajinga wa roho wakilalama.

    Ankali usibanie huu ujumbe, nakuona tu unataka kunyima haki yangu huru ya kusema.

    ReplyDelete
  2. Yes hii ndio Tanzania. Nani wa kulaumiwa??? Mamlaka ya viwanja vya ndege nchi???, Mkuu wa uwanja wa kigoma???, Wabunge wote wa Kigoma maana ndio gateway yao hiyo wanayoitumia kutoka kigoma kuja Dar au Dodoma na pia wanapotoka Dodoma kwenda majimboni mwao. Halikadhalika yupo Mkuu wa Mkoa huo na wakuu wa wilaya zote za mkoa wa Kigoma Je Hawajawahi kuliona tangazo hilo au ndio hivyo tena Tabia zetu Watanzania za uvivu wa kusoma hivyo tunaamua kupotezea!!!!!!!Bravo ndugu Mziray!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...