THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

BREAKING NEWS: LITTLE MAKULILO AZALIWA

On February 10th, 2011 at 5:42pm, Pacific Time, Marie Makulilo has delivered our cute little Makulilo named BENEDIKT FULBRIGHT MAKULILO. Benedikt has 8.8lbs (weight) and 21 inches (length)

The logic behind the names (Benedikt Fulbright Makulilo)

The name Benedikt (with letter "K" instead of "C" because of Kiswahili and Germany spelling of Benedikt), which comes from the Latin word meaning "the blessed", in honour of both Saint Bendict of Nursia and Pope Benedict XVI. And the name Fulbright is in honour of the prestigious FULBRIGHT scholarship. Fulbright Scholarship is the scholarship which has been named after William James Fulbright, and it has lot of meaning in realizing my dreams today, and MAKULILO is the honor of unsung hero Boniface Makulilo, my father

Thank you all for your prayers and encouragement.
The Makulilos (Marie, Ernest and Benedikt)


Kuna Maoni 16 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  Hongera sana bwana na bi Makulilo,mtoto akue katika afya njema.hongera Makulilo kwa kutuwakilisha vyema!

 2. Anonymous Anasema:

  Hongera Makulilo na familia yako, LAKINI jamani, breaking news???? Marekani? Mzungu?? C'mon people!

 3. Anonymous Anasema:

  hongera sana, kazi ni kulea sio kuzaa

 4. Anonymous Anasema:

  Hongera sana !sana Makulilo,
  Lakini ulipokua unatutangazia nafasi za masomo na udhamini wa masomo katika blog yako!ukuwa muwazi,pia ulikuwa mchoyo! ukujulisha kama kuna Oppotunity zingine za kutengeneza makaratasi! kama hii uliyonayo!tena sio karatasi bali ni jarida la merekani,basi unapotutangazia nafasi za masomo na hizi zingine pia usitubanie..
  Any way Hongera

 5. Anonymous Anasema:

  ...Hongera sana Makulilo, Mungu akuzidishie!

 6. Anonymous Anasema:

  makaratasi safiiiii

 7. Anonymous Anasema:

  na mimi natamani hako ka full bright scholarship nikazae na mzungu!! I wish

 8. Anonymous Anasema:

  Kila la kheri kwa nyote mtoto kapendeza pia amerisi puwa ya baba yake

 9. Anonymous Anasema:

  Hongera MPENI YESU maisha yenu atawale kila kitu na mtoto akikua amche Mungu. BE BLESSED.

 10. Anonymous Anasema:

  Kuna watu walisema umefuata makaratasi ulipotuhabarisha juu ya ndoa yako. Nafikiri wameona kuwa hakuna mchezo hapo 43yrs to come we will be talking of President BENEDIKTI. Watajuta kutufahamu

 11. Anonymous Anasema:

  Hongera sema Michuzi ujuage pa kutumia "breaking news" sio unatarusha roho kwa vitu visivyohusu...

 12. Anonymous Anasema:

  nikitazama hiyo picha nafahamu ni furaha kiasi gani mliyonayo.inapendeza sana...makulilo...hongereni sana

 13. Anonymous Anasema:

  Duuh hiyo kali yaani kwa kuwa FULBRIGHT ilikusaidia sio lazima umpe mtoto jina hilo. Basi umpe na jingine US Embassy kwa kukupa VISA. hata hivyo Hongera

 14. Anonymous Anasema:

  Hakikisheni anakuwa 'OBAMA' wetu mwaka 2058, na pia hongereni sana.

 15. Anonymous Anasema:

  Watanzania mna majungu utadhani mnalipwa mshahara vile. Mara makaratasi,mara VISA.
  Nendeni basi na nyie mkapate makaratasi kama mnadhani kupata wa kumuoa ni rahisi. Hayo ni mapenzi na kupendana ndio maana wakafunga ndoa na kujenga familia. Tujuege na kupongeza sio majungu tu na wivu.
  HONGERA SANA MDAU na UENDELEE KUTUPA INFO ZA NAFASI MBALIMBALI ZA UGHAIBUNI

 16. Anonymous Anasema:

  Duh Mkuu umekomaa na hicho kibibi! Bomba lakini huwezi jua bwana labda riziki yako Mungu kaiweka kwa kibibi na ya kibibi kaiweka kwako!

  Congratulations!

  PS: Kwa wadau wanaodhani haya ni majungu msikonde ni kawaida yetu wabongo kurushiana vijembe kwenye shughuli za kijamii kama vile akizaliwa mtoto, harusi, msiba, n.k.