RAIS Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akikagua akiba ya chakula katika ghala linalohifahdi akiba ya chakula ya Taifa( National food Reserve Agency) lililopo chang’ombe jijini dare s Salaam leo asubuhi.Wapili kushoto ni Mtendaji Mkuu wa wakala wa taifa wa hifadhi ya Chakula Bwana Charles Walwa, na watatu kushoto ni Waziri wa kilimo chakula na Ushirika Profesa Jumanne Maghembe(picha na Freddy Maro)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hivi kuweka hifadhi ya chakula Dar es salaam ni sahihi? mara kwa mara majanga ya njaa hutokea mikoani pili ambapo gharama ya usafirishaji inaongezeka kutokana na kwamba mwanzo kilisafirishwa kuja Dar then kitasafirishwa kwennda mkoani pale litakapotokea janga - hii ni gharama isiyo na sababu.Nafikiri hili ghala lingetafutiwa eneo ambapo ni centre ya nchi.Kubwa zaidi Dar es Salaam siyo wakulima hivyo haileti sense

    ReplyDelete
  2. Hifadhi haiko Dar tu. Kuna maghala ya namna hiyo mikoani kwa kila kanda - yaani kanda ya kati wana ghala lao, nyanda za juu kusini wanalo, kanda ya ziwa wanalo, n.k.

    Hilo la Dar es Salaam ni kwa ajili ya kanda ya Pwani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...