Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. wazungu bwana hawana urafiki! Wenyewe waliwa support ma dikteta siku zote baada ya kuona upepo unageuka wanajifanya wako na wananchi. Kumbe wanatafuta ulaji tu. Wezetu wanaona mbali ndo maana watuzidi maarifa.

    ReplyDelete
  2. Mdau fikiri kabla hujaandika, Nchi maskini zitasaidia nini Nchi za Ulaya? sana sana Wazungu wanawapokea marefugee tena wanawapatia mahitaji yao. Umasikini wao tu ndo unawasumbua, Kama Tanzania ni Maskini ya akili kwani wanamito, madini, mbuga za wanyama n.k, ila wao wenyewe kwa akili zao wamewapa wazungu tena kwa kodi kiduchu au bila kodi leo shirika litaitwa celtel, kesho zain, na siku zijazo T.mobile kukwepa kodi. Tumebaki na wachina na bidhaa feki, Tanzanite from South Africa na watu wanafurahia maisha. Hapo tatizo la wazungu au maskini? Poor my lovely Tanzania.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...