Wadau Wapendwa,

Naomba msaada tutani tafadhali. Nimeibiwa laptop leo and it is unlocked with all my emails, information, magazine stuff and personal stuff.

Location ilikoibiwa ni Mbezi Tangi bovu jijini Dar around 3pm It is a Dell Vostro 17inch in black. Nitatoa zawadi nono kwa atakayetoa habari za kupatikana kwake

Piga simu namba +255 754 844 578 kama utaiona.

Asante

Mdau EM

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Mangi wa KiboshoMarch 31, 2011

    Kanunue tu ingine ndugu sahau tu hii, ndo Bongo ndugu.
    Pole sana.

    ReplyDelete
  2. kingangitiMarch 31, 2011

    Da pole sana unanikumbusha kuibiwa kwa laptop yangu HP.kweli inauma sana na hasa ukiangalia kwamba vitu kibao unavyokuwa umehifadhi ndani mwake.tunaomba watafiti wa teknolojia kubaini machine hizi itokeapo mtu aliyeiba au hata kuuziwa ameunganisha kwenye mtandao,yaani pawepo ubunifu wa kuziregister kama tufanyavyo simu inaweza kusaidia baadhi ya watu kupata hata kama inachukua muda kuipata.Dell ya ukweli mkuu pole sana.

    ReplyDelete
  3. Nyingine imeibiwa Kijitonyama, hao wanunuaji wa Laptop hizo wangelifanya 'uislamu' wa kuweka kwenye CD information zote kisha wakawatupia wenyewe kwenye sehemu.

    ReplyDelete
  4. ukiwa umeinunua mpya(on the box)au on th laptop yenyewe kuna IMEI no.,nenda kaifunge shop ya DEll yenyewe and no one else will b able to use t or do anythng else kama info yako iko sensitive..but kuipata tena.mh!sidhani....

    Pole sana ndugu..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...