Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. wewe mzambia hicho kiswahili umekijuaje? nyinyi watu wa kyela acheni kujipa uzambia kubalini ubongo au mnaona mkisema wazambia mtaheshimika. na wewe mzambia wa tatu kuongea acha kuikosoa serikali ya nchi ya watu.

    ReplyDelete
  2. nani aliyekwambia kyela iko zambia kwa taarifa yako kyela ni border na malawi na tunduma ni border na zambia

    ReplyDelete
  3. Heh! kumbe naye alikwenda!

    ReplyDelete
  4. Mdau wa kwanza hapo juu lugha ya Kiswahili ni kubwa.

    Ukienda Omani lugha ya Kiswahili inaongewa kama uko Kariakoo DSM.

    Kaskazini nchi za Malawi, Mozambique na Zambia pia wanaongea vizuri kiswahili hata yule Rais mstaafu Fredrick Chiluba anaongea kiswahili cha Pangani, Tanga.

    Huko Lubumbashi na Kongo DRC yote ya Mashariki ni Kiswahili (Kingwana) pia Sudan ya Kusini tayari ni Kiswahili kwa kwenda mbele.

    Mdau
    Mswahili
    Kabwe, Zambia

    ReplyDelete
  5. Kiswahili huenda kikakipiku kizungu hapa africa siku moja.

    ReplyDelete
  6. Hayo ni mambo ya kujivunia kama kiswahili kimekubalika kiasi hcho. Basi ninyi watu wa nchi za nje kitangazeni kiwe lugha yenu ya taifa. Kama hamna waalimu muje Tz na Kenya muazime waalimu wawafundishe. Inaleta maana kama Afrika tutakuwa na lugha yetu wenyewe badala ya kujivunia na lugha za wakoloni (yaani waliotutawala).

    Tanzania munastahili pongezi sana kwa kuthamini utamaduni wa mwafrika kwa kuanzisha na kukuza lugha ya kiafrika.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...