Mbunge wa Musoma Vijijini na mwanasheria nguli Mh. Nimrod Mkono na mai waifu wake wakishirikiana na mkwewe na binti zao Dr Neema Mkono na Lea Mkono kukata keki ya katika mnuso wa nguvu aliouandaa kusherehekea ujio wa bintiye na mai hazbendi wake toka Haiti katika hoteli ya Kilimanjaro Kempinski jijini Dar es salaam.
Kwa picha kibao za tukio hili
BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

 1. This comment has been removed by a blog administrator.

  ReplyDelete
 2. Tunasubiri tuu HArusi ya Dick Chain

  ReplyDelete
 3. jamani ni lazima tujue kwamba hapa duniani kuna watu mungu amewapa utajiri na wengine hakuwapa. wewe unayesema pesa za dhulma angalia mwenyezi mungu asije akaku adhibu kwa wivu wako ukaishia pabaya.

  ReplyDelete
 4. Anon wa tatu hapo juu, sio Mungu kuwapa utajiri bali ni kwamba wanajituma, na wanatumia akili zao vizuri. Nyie wa kusubiri Mungu awape endeleeni kusubiri ... ni wale wanaohangaisha vichwa vyao na kujifunza kutokana na makoso wanaosonga mbele.

  ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...