THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

news alert: ankal aula! ahamia voice of america jijini washington DC, Marekani, apangwa kuripoti toka White House...

Ankal akiwa na mtangazaji mwandamizi wa Voice of America Bi. Khadija Riyami aliyeongozana naye White House jijini Washington DC leo tayari kuanza kazi ya kuripoti kutokea Ikulu hiyo ya Marekani, akijaza nafasi iliyoachwa wazi na Mh. Juma Nkamia, ambaye sasa ni Mbunge wa Kondoa.

Ankal ameiambia Globu ya Jamii usiku huu kwamba wadau wake wala wasiwe na hofu kwani libeneke litaendelea kama kawa kwani kaacha timu kubwa ya kuendeleza libeneke na wakati huo huo atakuwa akileta mambo moja kwa moja toka sebuleni kwa Obama. VOA wamekuwa wakimzengea sana Ankal ili akafanye kazi kwenye idhaa hiyo ya Kiswahili upande wa habari za mtandaoni.

Ankal akielezea mambo ya libeneke kwenye ukumbi wa mkutano wa White House baada ya waandishi wa White House na wa nchi mbalimbali kumuomba aelezee jinsi tasnia ya habari ilivyo Bongo kwa hivi sasa, hususan swala la kuibuka kwa 'vikombe' karibu kila kona ya nchi. Ankal aliwaambia kwamba ni kweli kumezuka watoa dozi sehemu kadhaa lakini hadi sasa Babu wa Loliondo ndiye anayetamba kuliko wengineo wote. Ankal alipata wakati mgumu sana kuelezea ni namna gani kikombe kimeshika hatamu Bongo.
Ankal akivinjari kwenye viunga vya White House
jijini Washington DC baada ya kutoa mada ya vikombe

Ankal akiwa ofisi za masuala ya nje ya Marekani (State Department) ambako ndiko ziliko ofisi za Bi. Hilarly Clinton. Kazi yake ya kuripoti habari za Ikulu ya Marekani huhusika na ofisi hii pia. Ameiambia Globu ya Jamii kwamba anamshukuru Mungu kwa 'kudakwa' na VOA na hivi sasa anajiandaa kupigana vikumbo na wanahabari wa dunia. Kasema ana uhakika kwamba endapo kama mambo hayatokua mswano ataingia mtaani kubeba boxi.


Kuna Maoni 310 mpaka sasa.

«Oldest   ‹Older   1 – 200 of 310   Newer›   Newest»
 1. Anonymous Anasema:

  hangera kaka michuzi zikuzote mtu ukifanya kazi kwa uangalifu na umakini uwaminifu matunda yake utaiyona.Congratulation brother michuzi keep it up tuwakilishe vizuri tunakuaminia waaeleze hao wazungu kwamba hata sisi tunaweza waambiee tumegundua dawa ya magonjwa sugu kama vipi nao waende tz kwa babu ambi wapate kikombe waachekujifanya wao wanajua kila kitu

 2. Anonymous Anasema:

  Congratulations Mr.Soups.We are glad to have you close, but we will miss Bongo event's. Mark this event in your calender for Michuzi's promotion. He is trying to pull our legs! I don't wonna spoil the events keep rolling!!

 3. Anonymous Anasema:

  Sikukuu ya Wajinga...April fools

 4. Haya sasa....mapemaaaa.... a prank for April fools day!Ankal sijakupa bado pongezi zangu,teh!teh!Nitafanya hivyo ikitokea umetujuza siku tofauti na hii!

 5. Anonymous Anasema:

  happy foolish day

 6. jomabe Anasema:

  hongera ankal ingawa duh hii aprili mosi inakua na balaa kweli unaweza ukapongeza ujinga kwakweli otherwise siku hii imepoteza mwelekeo kabisa

 7. Anonymous Anasema:

  HAPPY FOOLS DAYS! NICE ONE ANKAL!
  Phatlorenzo-MN

 8. Anonymous Anasema:

  Fools Day

 9. Anonymous Anasema:

  Hongera sana ankal, na karibu sana Ughaibuni


  Mdau.

 10. Anonymous Anasema:

  congratulation on your knew career. God bless u

 11. Anonymous Anasema:

  hahaha ankal nimefurahin sana kuwa umepata chance hiyo yaani ni great news kwa sisi wadau wa libeneke. sasa ankal nakushauri japo siku moja hebu pata nafasi ukabebe box ulione tamu yake maana unalisanifu sana box letu.
  madau maisha utani

 12. Anonymous Anasema:

  sikukuu ya wajinga, mimi hujanipata ankal

 13. Anonymous Anasema:

  Hongera Ankali na mungu akuzidishie
  Mdau Iceland

 14. Anonymous Anasema:

  APRIL 01, FOOOOOOOOLS DAY

 15. Anonymous Anasema:

  Is this an April fool joke or the real thing? utakua a photograph reporter au mwaandishi wa kalamu...If it not an april fool welcome to the USA the land of freedom of speech natumaini utakua muwazi sasa tukishakupiga kikombe cha freedom...

 16. Anonymous Anasema:

  Nyie hamumjui Ankali, Mwaka jana alikuwa mbunge wa kata mpya...hii ni April 1

 17. Jestina Anasema:

  HAHAHAHA APRIL FOOLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLL

 18. Anonymous Anasema:

  unam-fool nani sasa? au kabisa una m-fuuuuuuuul nani Ankal?

 19. Anonymous Anasema:

  April fools

 20. Arden Kitomari Anasema:

  Happy April Fools Day!!!

 21. Arden Kitomari Anasema:

  Happy April Fools Day!!!

 22. Tevez wa Tandale Anasema:

  Ankal kuna tetesi huku mitaani kuwa ulipata kikombe cha babu wa Loliondo ambacho kimekupa dhali la kukwea pipa na kuelekea kwa mzee Obama..Powa mkuu..muombe Mzee Obama aje atutembelee kama vile Mzee kichaka (Bush)..

 23. Anonymous Anasema:

  Anka umejuwa kuwadanga miaka YOTE UMETENGENEZA HII PHOTOSHOP TEHTEH SAFI SANA UMEWAPATIA KWELI LOL TEHTEH PAZI. APRIL FOOL.

 24. Anonymous Anasema:

  Happy April 1 Fools day everybody!!!!!

 25. Anonymous Anasema:

  APRIL 1 BADO NI SIKU KUU YA WAJINGA ?

 26. Anonymous Anasema:

  Michuzi u dont fool me,i m far away smart.LEO NI SIKU YA WAJINGA!!!!!!

 27. Anonymous Anasema:

  April fools day !! haha!

 28. Anonymous Anasema:

  Hii ni Friday,April 1.= Fools day


  Mdau
  Boston

 29. Anonymous Anasema:

  Uncle leo ni April 1...na unajua habari za siku kama ya leo inabidi kuziangalia kwa umakini kidogo. Je, kuna uhusiano wowote kati ya hii post yako na siku ya leo au hakuna? Kama hakuna basi mimi nakutakia kila la kheri katika kitengo chako kipya.

 30. Jestina Anasema:

  Michuzi comment yangu itabidii tu uipublish siku ikiisha lol!!! Mwanzo I almost believed then nikakumbuka ya mwaka jana kuhusu zefulanazzzzzz yaani nimecheka sana. Ur good at this! Well done

 31. Anonymous Anasema:

  Kaka,ni April 1st-fools day!Hope hutanii!Kila la Heri kaka.

 32. Anonymous Anasema:

  "FOOLS DAY NI TAREHE NGAPI" / SIKU YA WAJINGA NI TAREHE NGAPI "NAOMBA KUELIMWISHWA"

  ALIYETENGENEZA PICHA AMEJITAHIDI KIDOGO NAKUPA MARKS 51%

 33. Anonymous Anasema:

  APRIL FOOLS DAY SIO?????

 34. Anonymous Anasema:

  Acha wee Ankal, leo ni April fool!!!
  mdau singapore.

 35. Anonymous Anasema:

  Mmmmh..Leo siyo sikukuu ya Wajinga kweli!!!

  Anyway HONGERA SANA KAKA MISUPU

 36. AzaniaBitoz Anasema:

  Michu

  Karibu sana ndugu yangu. Mie mdau wa tokea enzi hizo. Ninataka kukukaribisha rasmi nyumbani

 37. Anonymous Anasema:

  Ankal hongera sana kwa kupata chaka la nguvu, nina matumaini kuwa sasa blogu yako itatoa habari zaidi katika wigo mpana sana kwa sababu umehamia sehemu itayokufanya uweze kupata habari za kuelimisha na kusisimua zaidi kwa wadau wako.
  Kila la kheri Ankal, tupo nawe kukuombea kwa Rabana akuzidishie kheri..

 38. Anonymous Anasema:

  Siku ya wajinga imeanza before 12midnight hapa washington d.c
  wajinga ndo waliwaoooo, ule mwaka mwingine uliwakamata wajinga na ile stori ya kuwa jk kakuteua ukuu wa wilaya ya tegeta.

 39. Anonymous Anasema:

  Michu!!!

  hongera sana jamani...

 40. AzaniaBitoz Anasema:

  Duh,naona umetupata kweli kweli. Nilisahau TZ tayari April 1st !!!!! . Haya ngoja tuone maajuza tuko wangaapi LOL

 41. Anonymous Anasema:

  Siku kama hii mwaka fulani ankal alichaguliwa na JK kuwa mkuu wa wilaya ya Tegeta... hii siku ina bahati sana kwa ankal lol...

 42. Anonymous Anasema:

  Ankal nina wasiwasi hii ni april fool, hizi picha umezitunza kwa muda mrefu zaidi ya mwaka mmoja sasa! Najua unatuzuga tu ni yale yale ya mkuu wa wilaya ya nanihii! hahahaaaaa! hizi picha ulipiga wakati zile ulipoenda CA silicon valley mkapitia ikulu kwa Obama! acha kutuzuga ankal.
  Ni mimi mdau wa damu USA.

 43. Anonymous Anasema:

  hongera kaka michuzi.lakini hii haendani na april fool ili kuturusha roho ya kukosa habari! haya hongera sana.

 44. Anonymous Anasema:

  Ankal ni mimi mdau wa damu USA usijejisahau ukapost ile message niliyokutumia kwani watu wanachechetuka wamesahau kwamba ni april fool jichukulie umaarufu kwanza mpaka baadae au kesho ndo ulipue bomu hapa umewapata wengi na kila mtu atakuamini.

 45. Anonymous Anasema:

  mmh sio April fool hii kweli?

 46. Anonymous Anasema:

  MISUPU ONCE AGAIN ITS ME,i m far a way smart u cant fool me,LEO NI SIKU YA WAJINGA!!!!!!

 47. Anonymous Anasema:

  Kama ni hivyo na mimi nina daraja la kuvuka kigamboni naliuza.

 48. Anonymous Anasema:

  Mtani Muhidi,
  Sijui umekunywa kikombe kipi Loliondo TBR au Mbeya ? ila nakupa heko kwa kupenya hadi nyumba nyeupe. Tuwasiliane nikutupie ngalau viatu vya baridi maana ndio unaanza kibarua. Mtani Ottawa, Canada.

 49. Anonymous Anasema:

  Hongera sana Kaka Michuzi, Mungu akupe nguvu ya kufanya kazi vyema, kila la kheri. Inshallah. Razia

 50. Anonymous Anasema:

  jamani ni april full mweeee..........ankal bwana

 51. Anonymous Anasema:

  April Fools na wajinga ndio waliwao!! hamuoni hata tarehe!! !lol!!

 52. Darlene Anasema:

  Naona umewapata wajinga. Keep it up leo ni Fools' day

 53. Anonymous Anasema:

  HONGERA Michuzi kwa kuwapata wadau karibia sita hapo juu. Jamani Leo ni SIKU YA WAJINGA.

  Michuzi kawapata watu kibao nafikiri hii inaipiku ile kwenye gazeti miaka ya nyuma kuwa kuna Kampuni inatoa kazi hakuna cheti, uzoefu na hata kama wewe mwizi njoo tu.

  Kufikia saa tano watu kibao walijipanga kidongo chekundu

  Mimi simo

  Observer

 54. he he he! Hii sio sikukuu ya wajinga kweli? manake dah! Wajanja hatuamini kirahisi

 55. msemaKweli Anasema:

  Ankal amesogezwa jikoni. Alipoulizwa kutoa ufafanuzi zaidi Ankal alisema "wajinga ndio waliowao" 4/1

 56. Anonymous Anasema:

  happy April fools to you too.

 57. Anonymous Anasema:

  april hiyo anachengua huyu ni sikukuu ya wajinga.umewapata wengi misupu

 58. Anonymous Anasema:

  kumbe hata wa majuu hawajui siku ya wajinga....kweli box ni noma, linaweza kukukatia mawasiliano na dunia hata kama upo duniani.

 59. Anonymous Anasema:

  April Fools.
  u tried.

 60. Anonymous Anasema:

  ankaaal!ankaaaal!ucje ukawa uatutenda na april fools!!!!!!!!!!!!!!!!

 61. Anonymous Anasema:

  Uncle
  i think its APRIL'S FOOLS DAY

 62. Anonymous Anasema:

  Ankal in your dreams!!!!!!!!!!!!Utawapata wajinga tuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!hilo ni chaka bovu......utambeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!Unafiri voice of america mchezo!!!!!!!!!eti white house!!!!!!!!!!utakaa sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!labda ukanywe vikombe vya morogoro na sio Loliondo!

  Mdau...........

 63. Anonymous Anasema:

  Mie nina wasiwasi na ankal, leo si ni tarehe 1 April siku ya wajinga!!!, ankal isije ikawa unataka kutuuzia mbuzi kwenye gunia. hiyo nafasi ilitangazwa lini jamani???

 64. Anonymous Anasema:

  fools day.....

 65. Anonymous Anasema:

  Hakuna lolote, siku ya wajinga leo. Mtoa habari umejitahidi kurubuni watu na pia habari yako imeukaribia uhalisia wa jambo. Hongera sana mwandishi.
  Kikongoti

 66. Anonymous Anasema:

  isije ikawa april fool!

 67. Anonymous Anasema:

  foolish day Ankal....try next time!!!!!!!!!!Keep dreaming men!one day yes!!!!!!!!!!!!

  Mdau.

 68. Anonymous Anasema:

  April Foolzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz!

 69. Anonymous Anasema:

  Leo umechakachua vizuri picha hizo na umewaweza wabeba box kweli kumbe wajinga bado wako wengi tena ughaibuni wanaokotwa kirahisi, safi sana ankal

 70. Anonymous Anasema:

  As I always say. Preparation meeting an opportunity. Nimefurahi sana na ninakupongeza, sikujui lakini nashukuru kuwa unawaonyesha vijana kuwa kazi ngumu hulipa. Karibu Marekani.

 71. Anonymous Anasema:

  its 01/04 pipo wake up!!! inadhihirisha ni jinsi gani wa TZ siyo wachunguzi wa mambo na ni wa2 wa kukurupuka tu, no wonder babu anakula vinchwa vya haja tu huko Loliondo

 72. Anonymous Anasema:

  Ankal, hapo utawapata wengi wenye sikukuu yao, mimi hunipati ng'o.


  Abiola Jr, New Albany- Ohio

 73. Anonymous Anasema:

  Mmmmmm! Leo siku ya wajinga!!!!

 74. Anonymous Anasema:

  Hongera ankal kumbukeni leo ni siku ileeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ya wa.......nga

 75. Anonymous Anasema:

  Hamna lolote...
  humpati mtu..
  Sikukuu ya Wajinga hii

 76. Anonymous Anasema:

  Ankal Jana tu nimekuona Bongo acha utani hatudanganyiki wewe upo na sisi hapa hapa Bongo maana wewe ni Mkuu wa Wilaya fulani JK alikuteua hahahahahahahahahaha wadau mpo?????? Karibu tupate kikombe cha Babu na cha dada........................TZ oyeeeeeeeeeeeeeeeeee.

 77. Anonymous Anasema:

  Ankal, hongera kwa kulamba vichwa kisawasawa.
  Nimewakuta jamaa hapa Columbu, Ohio wanabishana sana juu ya ulaji uliupata.
  Sikutaka kukuharibia deal yako ya sikukuu, nikaondoka kimya kimya.
  Teh Teh Teh!!!!!!!!!!!!


  Kipara Siugonjwa, safarini Mikanjuni TA

 78. Anonymous Anasema:

  Heri ya siku ya wajinga..........lol!

 79. Anonymous Anasema:

  Tehe tehe tehe tehe tehe! Fools day leo umpati mtu Kaka! Wakati tulikuwa wote kwenye foleni za magari leo.

 80. Anonymous Anasema:

  You reap what you sow! Juhudi zako hatimaye zimeonekana.
  Hongera sana Ankal.

  Mdau wa Mwenge

 81. Anonymous Anasema:

  Jamani leo sikukuu ya wajinga, chunguza kwanza taarifa unayopata.

 82. Anonymous Anasema:

  Umewakamata wengi! APRIL FOOLS!

 83. Anonymous Anasema:

  Lakini leo ni siku ya WAJINGA

 84. Anonymous Anasema:

  Uncle Michuzi, hii habari ni ya kweli au ni janja ya kuwapata wajinga leo?

 85. Anonymous Anasema:

  Hongera saaaaaaaana Ankal Mithupu, tunakutakia kila la kheri katika kazi zako na maisha yako huko kwa Ankal Obama. Naomba ile ze fulanaz usiiweke pembeni kwani huenda ilichangia katika uteuzi huo.

  All the best brother!

 86. BAA Anasema:

  Duh...Ankali kweli wewe kiboko, wakati nimeona habari hii na kuona tarehe yake nimekukubali kwa kuweza kuwapata wajinga wengi namna hii...na hii inaonyesha ni jinsi gani wabeba mabox wenzentu walivyo na IQ ndogo na no wonder tunabeba box wakati tunaweza rudi home na kufanya mambo makubwa zaidi...poleni mliopatikana na dhahama hii ya ankali kwenye siku ya wajinga..lakini ankali dini yako si hairuhusu huu upuuzi? that means umetenda dhambi ya kusema uongo...haaaa,kweli pepo kazi!

 87. Anonymous Anasema:

  thanks Uncle Michu kwa kutufurahisha, lakini watu wakumbuke leo ni FOOOOOOOOOOOOOOOOOL's DAY (kwa kimatumbi - Siku ya WAJINGA)!!

 88. Anonymous Anasema:

  SASA ANKAL.. NAONA ILE TOPIC YA WABEBA BOKSI IMENIFANYA MIMI NICHEKE SANA.. Nakutakia kila la heri huko. Duh sasa tutakumiss sana hapa bongo maanake.. duh.

  Sasa wewe ni mkurugezi wa wabeba maboksi washington..
  Jamani usitusahau. Mungu akubariki

 89. Anonymous Anasema:

  happy april fools day to you all

 90. Anonymous Anasema:

  Hivi leo ndio Aprili mosi, siku ya wajinga??

 91. Anonymous Anasema:

  No big News ankal. Mi nilijua,BREAKING NEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEWS ankal naye Aoteshwa, aanza kugawa kikombe Nyumbani Lounge. Yaani sikukuu ya wajinga, umewapata wengi. Ni april mosi.

 92. Anonymous Anasema:

  Leo ni April fools day

 93. Anonymous Anasema:

  kaka michu leo ni siku ya wajinga mweh

 94. kenge Anasema:

  sikukuu ya wajinga (fools day)??

 95. Anonymous Anasema:

  Yaani wote mmeingizwa mkenge na ankal Happy Fools Day , ankal tupo naye hapa samora tunakula bata.

 96. Anonymous Anasema:

  LEO NI SIKU YA WAJINGA ACHA POROJO ZAKO.HA HA HAH!

 97. Anonymous Anasema:

  April fool

 98. Anonymous Anasema:

  Well come to the World. New career and life. Well come. No job no money.

  Mdau Duke University- Durham ,North Carolina

 99. Anonymous Anasema:

  Wajinga ndo wali wao...Happy april fools day ankal........kwikwikwi

 100. Anonymous Anasema:

  Aucle,hongera...ila yantia shaka kama sio kwamba umetukamata masikio kwani leo ni fool's day!

 101. Anonymous Anasema:

  Jamani hii sio april fool?

 102. Anonymous Anasema:

  hahahaha hongera and happy fools day ankal

 103. Anonymous Anasema:

  Utakuwa umewapata wengi!! Fools day!!!!!!!!!!!

 104. Anonymous Anasema:

  01/04/2011 uncleeeeeee!!!!

 105. Anonymous Anasema:

  Hii ni tarehe 1 April, Au...?

 106. Anonymous Anasema:

  April Fools Day.

 107. Anonymous Anasema:

  HONGERA SANA BRO MICHUZI AS LONG AS HAIHUSIANI NA SIKU YA LEO. KILA LA KHERI!

 108. Anonymous Anasema:

  Ehhh nyie wa juu wote leo ni tarehe ngapi vileeee..........!!!!!!

 109. Anonymous Anasema:

  Siamini nadhani kama siku ya wajinga vile!!!! Mmmmh!

 110. Anonymous Anasema:

  MMMh nawasiwasi na Misupu!! Leo ni siku ya wajinga isije ikawa unatuingiza town.

 111. Anonymous Anasema:

  Michuzi siyo mambo ya fools day hayo???
  Mi sikubali leo tarehe 1 April. te te teheeeee......

 112. Anonymous Anasema:

  Nahisi kama sikukuu ya wajinga hivi

 113. Anonymous Anasema:

  Happy Fools day Ankal!

 114. Anonymous Anasema:

  hahah sikukuu ya wajinga...umewapata wengi sana

 115. Anonymous Anasema:

  fools day leo

 116. Anonymous Anasema:

  April 1 sikukuu ya Wajinga. haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

 117. Mangi wa Kibosho Anasema:

  Muongo tu huyu jamani. Leo ni siku ya FOOL DAY shauri yenu!

 118. Anonymous Anasema:

  Ankal hapo c kama unatuingiza mjini kweli hapo kwenye fools day . Jana tu nimekuona pale mzalendo aloo

 119. Anonymous Anasema:

  Ankal hivi sio ndo umewavuna watu nadhani leo ni April 01, siku ya wajinga vile

 120. Anonymous Anasema:

  Its a fools day leo

 121. Anonymous Anasema:

  tumeshuka kaka leo ni april fool jaribu mwakani kaka

 122. Anonymous Anasema:

  mh hii sio april fools day????

 123. Anonymous Anasema:

  Happy fools day! Ha ha ha ha, mwaka jana mkuu wa wilaya mpya, mwaka huu VOA, ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, umeshawakamataaaaaaaaaaa. Mbavu sina mie ha ha ha

  Mdau Singida

 124. Anonymous Anasema:

  Hope this has nothing to do with the April fools day!
  If not so, hongera!

 125. Anonymous Anasema:

  Hivi Mnajua kwamba leo ni "Fools Day"

 126. Anonymous Anasema:

  Hii ni April fools day.. Michuzi wewe upo Bongo. Hizo picha ni when Kikwete alipokuja USA.. Si unaona bendera ya TZ ipo kwa press conference..
  Ikulu ya Marekani hamna Bendera ya Tanzania wala nchi nyingine..
  Kamata bajaji.. wewe mwezetu bado.

 127. ALD Anasema:

  SIKU YA WAJINGA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!TEH TEH TEH

 128. Anonymous Anasema:

  Kila la kheri Michuzi katika siku hii ya wajinga duniani.

 129. Anonymous Anasema:

  Duh! Hongera sana ankal. Sasa na wewe umekuwa mbeba mabox sio? usije ukawa umebeba binoculars. teh!

  Malisa(BG)

 130. Anonymous Anasema:

  siku ya leo ikipita ndio nitaamini. labda ndio fools daya hiyo ankal, ila umewapata wadau wengi sana. yote hii ni kukuonesha kwamba tuko pamoja na wewe, na tunakuombea salama na kazi njema.

 131. Anonymous Anasema:

  Amewapata! Bro Michu, umefanikiwa kuwapiga changa la macho wengi leo, hawakujua kwamba kumbe LEO NI SIKUKUU YA WAJINGA

 132. Anonymous Anasema:

  Alhamdulillah! Tunasema Mungu ni Mkubwa!

  Ankal, juhudi huzaa matunda kaka, na Mungu kamwe hamtupi mja. Hongera ndugu yangu. Utuwakilishe vyema huko mjengoni.Ni juzi tu nilikuomba utoe suala la mashimo hapo Mbagala R/3, kumbe umeisha kwaa pipa kaka. Nakutakia mafanikio mema, na Allah akulinde, wabaya wasikusogelee, Inshallah!
  Wala usibebe box, we yakishindikana rudi tu kitaani tuendeleze libeneke hapa hapa kwetu, mbona kuzuri tu.
  Angalizo: Mashimo tayari yamefukiwa siku Mama Salma anakwenda Nyamisati na Balozi wa Japan - kituo.

 133. chezeni Anasema:

  Hongera Ankal Kwa kuula.
  Though kwako ni habari njema sana kwangu nakuwa na hofu kwani nishazoea kupata habari zilizovunjikavunjika muda wowote,na hapa nilikuwa nipo mbioni kukuuliza kuwa kwa nini siku hizi hupost habari kama zamani,kumbe ankal ulikuwa busy huko mastate,haya bana. Msalimie Obama! Mwambie asisahau kuja kunywa chikombe,nadhani hii itasaidia kutengenezwa kwa ile barabara!

 134. Anonymous Anasema:

  wadau mmesahau leo ni siku ya wajinga duniani.

 135. gnel Anasema:

  Ha ha haaa... ANKAL...Ama kweli umewatoa wengi kwenye hii APRIL FOOLS DAY! Hongera sana!

 136. Anonymous Anasema:

  hongera kaka yangu ila usiache mbachao si unajua glob yako ilivyo muhimu sana kwetu wa tz

 137. Anonymous Anasema:

  jamani its fools day.....mbona hii comment hamuweki

 138. Anonymous Anasema:

  Ni kweli siku ya wajinga leo ?sina hakika sana ila naona kama kuchukua nafasi ya Juma Mkamia Haina ukweli kabisa najua wewe ni mpiga picha

 139. Anonymous Anasema:

  Jamani jamani jamani naomba kuwatakia wadau wote wa blog hii ya jamii happy to be fooled day especially kwa Ankal Misupu kuweza kuwazoa wachangiaji waliopita ambao kwa kweli wameweza kuwa fooled happily..

  Kweli kaka Michu kazi unaiweza mpaka umeleta ma-library na kupata abiria wa kuwa-fool, hii inaonesha ni kwa kiasi gani unakubalika na jamii ya kitaifa na kimataifa!

  Mdau kutoka Moshi!!!

 140. Anonymous Anasema:

  Mhhnnnnnnnn......Kama kweli, Hongera sana Mithupu lakiniiiiiiii????

  Isije ikawa April Fools Day

 141. Anonymous Anasema:

  Mmmmmmmmh!hizo picha mbona kama zimepachikwa ankal?
  nona umewapata wengi,happy foolish day ankal!

 142. Anonymous Anasema:

  Hahahaha.... Ngoja nicheke kwanza... Maelezo badae. Kazi njema wana globu ya jamii

 143. Anonymous Anasema:

  SIKU YA WAJINGA HADI SASA UMEPATAWAJINGA TISA AMBAO WAMEKU SUPPORT , MASKINI WEWE UMEWAPATA KWELI

 144. Anonymous Anasema:

  jamani leo sikukuu ya wajinga....khaaa....mmepatwa wengi kweli

 145. Anonymous Anasema:

  duh ankal kawapa kweli... eti ohhh hongera sana... siku ya wajinga. wajanja hatudanganyiki!!!

 146. Anonymous Anasema:

  April the 1st joke.
  Wabeja.

 147. Issa Kesu Anasema:

  Asalaam alaykhum ankal, Hongera sana kwa mafanikio inshaalah mola atakulinda na uendelee kupaa zaidi katika ulimwengu wa habari.

  Wajina

  Chef Issa

 148. Anonymous Anasema:

  hongera ankal, be blessed

 149. Anonymous Anasema:

  April fools days tehe tehe tehe.... Wajinga ndo wanaopatikana siku huu ukiwasubiri kona tu wanatokea...

 150. Anonymous Anasema:

  Ahhhhh! michuuuuu!! naamini u-ccm utakutoka au kupungua u will be thinking internationally not locally.

 151. Anonymous Anasema:

  hongera mkubwa!!!!

 152. Anonymous Anasema:

  hii kama April fool flani hiviiii

 153. Anonymous Anasema:

  TEH TEH TEH...
  DANGANYA TOTO...CKUKUU YA WAJINGA HUMPATI MTU ANKAL...

 154. WAKUTI Anasema:

  Mh leo siku ni ya wajinga!

 155. Anonymous Anasema:

  Happy fools day!

 156. Cool Anasema:

  siku ya wajinga hio

 157. Anonymous Anasema:

  Hongera sana ankali wetu wa ukweli mungu akuzidishie nafasi za juu zaidi ili tupate habari na matukio zaidi tunakubali kuwa wewe ni muongoza jahazi la libeneke oyeee bongonl inakutakia kazi njema na maisha mema na familia ameen.
  bongonl.

 158. Anonymous Anasema:

  siku ya wajingaaaaaaaaaaa

 159. Anonymous Anasema:

  April Fool's Day!!!!

 160. Anonymous Anasema:

  april fooooooooooooools day

 161. Anonymous Anasema:

  Congrats!

 162. Anonymous Anasema:

  KAKA HII TAARIFA UMEITOA SIKU MBAYA SANA KWANI NI TRH 1/APRIL NI SIKU YA WAJINGA DUNIANI NA KAMA ULIVYOWAPATA HAO WATOA COMMENT.KAMA NI KWELI BASI HONGERA SANA.
  MDAU

 163. Anonymous Anasema:

  Michuzi!!! Leo ni siku ya wajinga

 164. Anonymous Anasema:

  leo si ni siku ya wajinga jamani?

 165. Anonymous Anasema:

  HAHAHAAA SIKUKUUU NJEMA ANKAL!(1Aprili)

 166. Anonymous Anasema:

  1 April...

 167. Anonymous Anasema:

  heheheehe foools day yako serius kweli kweli

 168. Anonymous Anasema:

  it is April Fools Day ~ Good luck

 169. Anonymous Anasema:

  Congratulations and God bless
  Wakatabahu

 170. Machu Anasema:

  Félicitations!! Pamoja na habari toka sebuleni kwa Obama, tunaomba kasi ya nyuz za bongo liendelee kama kwa!
  Tout le meilleur,

  Mdau, Geneva!

 171. Anonymous Anasema:

  SIKU YA WAJINGAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

 172. Anonymous Anasema:

  mnh!!! hizi habari sio kwamba ni za 1st April fools day!!!!

 173. HAMPO Anasema:

  LEO NI SIKU YA WAJINGA DUNIANI.KAWAPATA KWELI.

 174. Anonymous Anasema:

  binafsi nimefurahi kuona umepata nafasi hii bro karibu sana huku wengine tumezamia.wengine tumekuwa tukisoma michuzi kila siku kupata kujua kinachoendelea back home.kwa kazi nzuri ulikuwa unaifanya i hope team uliyo iacha itaendeleza kazi hiyo.sijawahi kukuona but i feel like i know you very well.natumai one day tutakuona kwa macho star wetu,haa celebrity wetu.pooowa.again karibu sana ugenini kwetu kwa mr mkenya.haa obama.

 175. Anonymous Anasema:

  Siku kuu ya wajinga hiyoooooo....umewapata

 176. Anonymous Anasema:

  Success Is A Result Of Deeds And Not Dreams.

  HONGERA SANA - I FEEL LIKE ........AAHAMMM........ THATS ALL.

  PRINCE SAB - WERRASONIQUE

 177. Anonymous Anasema:

  APRIL FOOL'S DAY

 178. Anonymous Anasema:

  Leo ni tarehe 1 April. Umejua kuwapata watu.

 179. Anonymous Anasema:

  Mh! Ankal, mie napatwa wasiwasi, maana leo ni SIKU YA WAJ....

 180. Anonymous Anasema:

  Section ya waandishiwa habari wanaofuatil;ia speech yako mbona hujaweka? Kweli leo sikukuu ya wajinga.

 181. Nyau Anasema:

  Kumbukeni leo ni 1st April.............

 182. Anonymous Anasema:

  April fools day....Ankal naona umewapata wajinga wachache

 183. Anonymous Anasema:

  Acha hizo michuzi, au kwakuwa leo ni siku ya wajinga.....

 184. Anonymous Anasema:

  WADAU MLIOTOA MAONI HAPO JUUU KUMPONGEZA MICHUZI IMEKULA KWENU.HAMNA TOFAUTI NA WALE WAJINGA WAPANGA FOLENI KWA AJILI YA KIKOMBE CHA BABU.

  MDAU KAMANDA TOKA UGHAIBUNI.

 185. Anonymous Anasema:

  HIVI HAMJUI LEO NI APRIL FOOL...WABONGO BWANA,NA HONGERA JUU..LOL

 186. Anonymous Anasema:

  Bendera ya Tanzania inafanya nini ofisini kwa Hilary Clinton? April FOOL. Mie hata hujanipata..

 187. Anonymous Anasema:

  Uncleeeeeee!

  Naona umeamua kuhusisha mambo ya 1st April na jumbe jeupe sasa!!

 188. Anonymous Anasema:

  Ankal umewapata hao siku ya leo ila siyo mimi. Is not a fool day today??
  ha haha !!

 189. hackertzz Anasema:

  Ankali Michu.... kweli!!!!? au ndio unatufanya wajinga sisi with your 1st of April pranks!!

  Utanisamehe.... HONGERA yangu itasubiri 24hours.

 190. Anonymous Anasema:

  Auncle michuzi,leo ni siku ya wajinga kaka.Nimekukamata

  WWW.LOCUSIMPEX.COM

 191. Anonymous Anasema:

  happy fools day ankal

 192. Anonymous Anasema:

  april fullllllllllll.

 193. Anonymous Anasema:

  HONGERA SANA MKUU. HAYO NDO MAMBO. BINAFSI NAKUTAKIA KAZI NJEMA NA UWE MWAKILISHI MZURI WA WABONGO. Mdau wa Australia

 194. Anonymous Anasema:

  Hi watanzania tuna matatizo gani jamani? tuko kama wanyama poli tunafuata sana mkumbo bila kutafakari. Hii habari ya Michuziikija kesho nitampa hongera lakini si leo siku ya wajinga. Imagine lugha au radio na TV zote za duniani ziliport kutoka white House, kutajaa sana. siyo? Michuzi anasifa kiasi za kuriport kukokea white house lakini sikubaliani na habari hii mpaka hapo kesho. Ninajua kuna uwezekano watu wengi wameliona hili lakini Bwana Michuzi amezuia posts zao ili kuwa-encourage wajinga wa leo kujinafasi. Michuzi please niwekee hii. Tafadhali.

 195. Anonymous Anasema:

  ZISIJE ZIKAWA KAMBA. TAREHE YA LEO SI UNAIJUA -SIKU YA ......WEREVU. ILA KAMA NI KAMBA IMESUKWA VIZURI.

 196. Anonymous Anasema:

  MICHUZI LEO NI SIKU YA WAJINGA 1st April , HUWEZI KUTUPATA WENGINE

 197. Anonymous Anasema:

  SIKU YA WAJINGA NYIE MSIKURUPUKE KUTOA HONGERA..WAJINGA NDIO WALIWAO....!!!

 198. Anonymous Anasema:

  happy fools day.......hahaaaa mithupu

 199. Anonymous Anasema:

  mmh!siku ya wajinga leo,kalagha bao!we ankal hizi picha mbona ni za mwaka juzi ulivyokuja na msafara wa rais huku!?hao unaowaeleza habari za kikombe cha babu mbona hatuwaoni!!???
  But hongera kwa kuingia ikulu ya Obama ankal.

 200. Anonymous Anasema:

  Ankali siku uliyotumia (tarehe moja mwezi Aprili!) kutanga hii kitu ni ya utata kidogo, isije ikawa unatupeleka pori!

«Oldest ‹Older   1 – 200 of 310   Newer› Newest»