Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka akimpokea Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais anayeshughulikia Uratibu na Uhusiano,Steven Wassira alipotembelea ofisi yake binafsi iliyoko wilayani Muleba,Mkoani Kagera.
Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka akimuelekeza Waziri Wassira kwenye ofisi yake binafsi iliyopo Muleba,Mkoani Kagera leo.Waziri Wassira alikuwa mkoani Kagera kutembembelea miradi mbalimbali ya maendeleo inayoratibiwa na TASAF.
Waziri Wassira akibadilishana mawazo na Profesha Tibaijuka mara baada ya kusaini kitabu cha wageni ofisini kwake.
Mama Mzazi wa Prof. Tibaijuka akimpatia Waziri Wassira Kahawa za kutafuna ambazo hupatiwa watu wenye heshima kubwa mkoani humo.
Prof. Tibaiijuka akimuonyesha Waziri Wassira mama yake mzazi anayefahamika kwa jina la Aulelia Kajumulo mwenye umri wa miaka zaidi ya 88.Picha na Audax Mutiganzi,Bukoba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...