Nyota wa Chelsea kutoka Ivpry Coast Didier Drogba akiwa na mai wafu wake Lalla Diakite baada ya kumeremeta wikiendi ilopita huko Monaco, jirani na Ufaransa

Sherehe za Drogba kumeremeta huko Monaco

Safari ya kwenda kwenye mnuso baada ya kumeremeta

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 14, 2011

    Monaco pesa nyingi

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 14, 2011

    DROGBA safi sana.....Hatua nzuri sana hiyo!
    Mtanzania halisi-Kwa BIBI!

    ReplyDelete
  3. jembeulayaJune 14, 2011

    Monaco imo ndani ya Ufaransa pamoja na kuwa ina utawala wa kifalme na serikali yake lakini bado kijiografia inatambulika iko France, ni kama vile Barcelona ipo ndani ya Spain na Vatican ipo ndani ya Italia.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 14, 2011

    MONACO JIRANI NA UFARANSA??? DAMNNNN

    ReplyDelete
  5. Baba SangaraJune 14, 2011

    Habari hii hata Ivory Coast haijafika! Hongera Michuzi blog!
    http://abidjan.net/

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 15, 2011

    Ila wajameni hiyo ndo harusi au happy basidei? mmhhhhhhhh?

    ReplyDelete
  7. we annon wa jumatano saa tisa za usiku...hiyo ni harusi,unazani wapo kwenu tanzania watu harusi wanafanya kufuru zisizo na faida...mwenzio ambasador huyo nchini kwake anasaidia yatima ,ana maoteli na hospitali anajua uchungu wa pesa na anajua nini kutokuwa na pesa na anajua jinsi ya kusadidia wasio nazo....ulitaka afanya harusi gani....thats a very simple wedding mate....na watu ndo wanavyofanya nchi za watu...sio kwenu hata kaubatizo mnakata ndafu .a.a.amjatulia huko kabisa..

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 15, 2011

    wangemualika huyo jamaa aliedata hapo kwenye video ya besdei ya joseph kusaga!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 15, 2011

    Simple wedding, yaani kanifurahisha sana. Kaalika wasanii wa Africa na wa nje na harusi yake nzuri sana isiyo na makuu. Ndoa zinazodumu hazina farasi na matangazo. Big up Didier.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 16, 2011

    Hii ilitoka kwenye magazeti ya nje na hata picha.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...