Shaggy akitumbuiza uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza usiku huu
Wanamuziki wa Shaggy wakifanya vitu vyao jukwaani


Nyomi ya Mwanza

Shaggy baada ya kusimikwa ubalozi wa wa Wasukuma huku Bujora mchana

Balozi wa Wasukuma Shaggy kwenye kiti chake cha enzi

Jaji Mark Bomani akimsimika Shaggy ubalozi wa Wasukuma


Balozi wa Wasukuma akishukuru wananchi wa Mwanza kwa heshima hiyo

Wachezaji wa ngoma ya Kisukuma wakikaribisha wageni

Shaggy akitembelea jumba la Makumbusho la Wasukuma Bujora


Shaggy akiwa kazungukwa na wanautamaduni wa Kisukuma.
Picha zote na Michuzi JrMichuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

 1. AnonymousJune 27, 2011

  Balozi wa Wasukuma, duh:-)! Toleho lolo mkaya mkingwa Shaggy, washika!

  ReplyDelete
 2. AnonymousJune 27, 2011

  Umasikini ni kitu kibaya

  ReplyDelete
 3. AnonymousJune 27, 2011

  Shaggy u rock woooooooooooooooooow. i love this guy.

  ReplyDelete
 4. AnonymousJune 27, 2011

  Mdau wa monday 27 06:42:00 ASANTE sana umesomeka mkuu.halafu swali kwa hawa waandaaji wa hizi BURUDANI mbona wanamuziki ni wengi nje mnakalia kuleta hao hao wa aina moja mnaboa sana.ebu amkeni!

  ReplyDelete
 5. AnonymousJune 27, 2011

  HUYO ANAESEMA UMASIKINI KITU KIBAYA UNA MAANA GANI KWANI KUNA UBAYA GANI SHAGY AKIENDA USUKUMANI HUJUI NDIO MOJA YA MAENDELEO

  ReplyDelete
 6. AnonymousJune 27, 2011

  SAFI SANA HONGERENI MLIOFANIKISHA ,NIMAENDELEO MAKUBWA SANA,

  ReplyDelete
 7. AnonymousJune 27, 2011

  money and power rule the world

  ReplyDelete
 8. AnonymousJune 27, 2011

  we mdau uliosema hayo ni maendeleo kweli??? Hivi mandhani akitoka hapo anaenda kutangaza utamaduni wetu..nooo way. Yeye ilimradi kapewa mshiko wake..na kwanza hata Marekani hawajui kuwa Shaggy yupo TZ na kwanza kafulia. wanamziki wanaokuja bongo wote wachovu.Jaribuni kuchukua mtu kama Beyonce aje kuburudisha tuone itakuwa cipi na kiingilio kitakuwaje...

  ReplyDelete
 9. AnonymousJune 28, 2011

  you are right Money and Power rule! Hata mzungu ukiwa na pesa au kitu anachokihitaji atakunyenyekea.

  ReplyDelete
 10. Shaggy chifu wa Wasukuma!!!, ama kweli Wasukuma tumeishiwa. Jamii yetu imejengwa katika matabaka mbalimbali ambayo nguzo zake kuu ni mila na desturi. Tatizo kubwa ambalo linaikabili jamii yetu kwa sasa ni uhaba wa watu wenye fikra na hekima nzuri katika kupambanua mambo mbalimbali yanayo iathiri na yatakayo iadhiri jamii yetu katika kizazi kijacho.
  Inanishangaza na kunisikitika sana ninapoona wazee wetu tunaowategemea kuzilinda na kuziendeleza hizi nguzo zetu kuu katika jamii wanapoanza kuzibomoa hasa pale pesa inapokuwa ndio mzizi wa utoaji wa maamuzi. Pomoja na kwamba Mwalimu Nyerere aliamua kufutilia mbali uongozi wa machifu katika jamii ya kitanzania. Nikiwa mmoja wa wajukuu wa aliyekuwa chifu wa Itilima, Marehemu Limbe Mwinula, inaniumiza sana ninapoona kuna watu kwa sasa wanajifanya ndio vinara katika maamuzi ya mila na desturi kwenye jamii yetu. waswahili wanasema, ashakumu si matusi na nisamehewe kama nimekosea, ni lini na wapi Mark Bomani amepewa haya madaraka ya kutuamualia maswala mazito kama haya. Kwanza, yuko pale kwa ajiri ya masilahi yake kama mmoja wa wajumbe wa bodi ya wakurugenzi ya serengeti breweries. Huyu Shaggy, Ninaamini kwanza hajui chochote juu ya historia, mila na desturi ya wasukuma, kama serengeti breweries wanataka wajulikane katika bidhaa zao(market exposure), inanisikitisha sana kuona wanafanya hivi kwa kupitia kwa wazee wetu ambao hawajui nini maana ya ''market economy'' katika dunia ya sasa iliyojaa ulaghai katika masoko ya bidhaa. Ama kweli, elimu bila fikira na hekima ni kazi bure.

  ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...