Marehemu Edgar Kileke enzi za uhai wake
Ndugu, Jamaa, na Marafiki, Watanzania wote:
Tunapenda kuwa taarifu kwamba mazishi ya ndugu yetu marehemu Edgar Kileke (Kaka Dick) yatafanyika: 
JUMATANO Tarehe 29 June 2011
IBADA ITAFANYIKA:
LEICESTER CENTRAL SEVENTH DAY ADVENTIST CHURCH
LONDON ROAD
LE2 1EF
LEICESTER

MUDA: SAA NNE KAMILI ASUBUHI (10AM)
MAZIISH YATAFNYIKA: GILROES CEMETRY

Na baada ya mazishi kutakuwa na huduma ndogo kwa wafiwa yaku toa shukurani:
85 STEVENSON DRIVE
LE3 9AD
Kwa Maelezo zaidi wasiliana na:
NDUGU Assa Ali 07951644936 
au 
Fauzia Musa 07943962628
Asanteni sana na Mungu awabariki.

R.I.P EDGAR
-- 
Be Cheerful! GOD loves you more than you'll ever know!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 27, 2011

    NAWAPA POLE SANA NDUGU ZA MAREHEMU EDGAR, AMBAYE ANAZIKWA HIVI KARIBUNI. JAMANI KIFO KINAUMA SANA. NI JUZI TU JUMAMOSI TUMETOKA KUMZIKA PROF.ALFEO NIKUNDIWE MAUYA AMBAYE ALIKUWA ANAFANYA KAZI UDSM.
    IMETUUMA KUONA KWAMBA ALIKUWA NA MAJUKUMU MAKUBWA KUWAFUNDISHA WANAFUNZI WAKE. LAKINI AMEKUFA NA HAYUPO TENA DUNIANI. SASA LEO HII SAA HIZI NASOMA TENA MSABATO MWINGINE AMEKUFA LONDON, INAUMA JAMANI ILA USHAURI WANGU SISI TULIOBAKI NI HUU: WOTE HATUJUI KILA MMOJA WETU NI LINI MAISHA YETU YATAKOMA, HIVYO NI MUHIMU TUJIANDAE KILA SIKU KWA SALA NA MAOMBI ILI BWANA ATUTAYARISHE NA KUTUKUMBUSHA KUZIHESABU SIKU ZETU HAPA DUNIANI. POLENI SANA KWA MARA NYINGINE NDUGU ZANGU WA IMANI MOJA NA MARAFIKI WOTE AMBAO MNASHUGHULIKA KUMUANDAA NDUHU YETU NA KAKA YETU KUMPELEKA KATIKA NYUMBA YAKE YA MUDA SIYO YA MILELE, MAANA TUNAAMINI YESU ANARUDI HIVI KARIBUNI NA ATAWAAMSHA WAFU WALIO LALA KATIKA KRISTO WATAFUFULIWA.
    AMINA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...