WANAFUNZI wakiwa katika  baskeli wakitoka skuli  mitaa ya Michenzani mjini Unguja. Hakika uchukuwaji wa abiria kama hivi unaweza kuleta madhara kwa watumiaji wa chombo hicho, anasema mdau Othman Mapara aliyetuletea taswira hii ya Mwezi. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 31, 2011

    Kwani zenji hakuna bajaj?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 31, 2011

    Hana pesa na anakaa mbali na hayupo tayari kuuza utu wake kwa wenye mali!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 31, 2011

    bajaji zinapelekwa misaada mikoani tu sio zenji kwanii kuna serikali ya muungano kule zenji?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 31, 2011

    mdau wa mwanzo sio kila mtu ana uwezo wa kununua au kukodi bajaj!

    ReplyDelete
  5. duh,unajua huyo mtoto wa nyuma mguu ukiingia kwenye spoku za tairi vidole vyote vitakatika au ,but you know what?yote maisha

    ReplyDelete
  6. Ndio mwaita Mushikaki!

    ReplyDelete
  7. yaani wabara wajinga kweli

    ReplyDelete
  8. sifikirii kama yy mwenyewe anataka hali hii bt ndio hivyo tena
    lkn na usalama wa wapakiwaji nao pia tuuangaliye

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...