Masoud Kipanya (wa pili shoto) akiwa na Dj Luke Joe 'Vijimambo', Mweka hazina na SID Tanzania Chapter  Da'Yasmin Chali, Sunday shomary wa VOA na Katibu Mkuu wa SID Tanzania Chapter Da' June Warioba jijini Washington DC
javascript:void(0)
Masoud Kipanya  akiwa studio jijini Washington DC akikamilisha albam yake ya 'Upuzi wa Kipanya' anayotarajia kuizindua jijini Dallas agosti 6, 2011 na siku itayofuata atazindua tena jijini Houston.
Kipanya akionesha kava ya albamu yake

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Safi sana kija Masudi Kipanya,wape vipande vyao!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 31, 2011

    Tunakisubiri kwa hamu hiki kitabu.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 31, 2011

    Karibu sana Dallas Masoud. Tutakuona next weekend. Kazi zako namba moja, tangu hizo siku. Tunashukuru kwa uelimishaji wako na kuchagua Dallas kama mahala pa kuanzia hapa Marekani!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 31, 2011

    Kaka naona upo kwenye room ya hotel yako una review kazi zako, hongera.

    ReplyDelete
  5. KILA LA KHERI KAKA.
    CHUWA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...