Mgeni rasmi katika shindano la kumtafuta Miss Talent wa Vodacom Miss Tanzania 2011, Mwanamitindo wa kimataifa Cynthia Kanema ambaye pia aliwahi kuwa Miss Zambia 2003 akimsikiliza Mkuu wa Itifaki wa Kamati ya Miss Tanzania Albert Makoye aliyekuwa akimweleza jambo mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam alfajiri ya leo.  Shindano la Miss Talent litafanyika leo katika Hotel ya Giraffe Ocean View Mbezi Beach Dar es Salaam. Picha na Mroki Mroki

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Huyu mtoto wa kibemba ametulia siyo siri .Nyie VODACOM shindano lenyewe la Vodacom Miss Tanzania litafanyika lini?Manake mashindano ya "Umiss"yamekuwa mengi hadi yanatuchanganya sasa..Miss Talent..Miss Ocean view..Miss kariakoo..Miss kuogelea..Miss mapozi,Miss Redds etc.

    David V

    ReplyDelete
  2. Yarabi tobah! Mimi mwenzenu nafa na hiyo miguu ya huyo Mwali wa Ki Zambia! Nakwambia, Yaani kusema yajazwa upepo kila subuhi:-)

    ReplyDelete
  3. Alishakuwa miss but in 3 colour in once, alikosa koti jekundu au basi pochi ya kijani? utadhani mkrismas tree eeeeeeheh eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...