Safari ya kupata somo ya jinsi kutengeneza Nyama-choma na mbege toka kwa wenyeji wa Arusha na Kilimanjaro nchini Tanzania:

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Kaka, you made my day!! Aika mbe, ndede shen!!! you made mu day... this clip will go straight to my FB page... Remain blessed! Eliangireriasia.

    ReplyDelete
  2. this guy says "spectacular", "amazing" "so rich food" "great food"...but the name of the program is "BIZARRE FOODS" he he heeeeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  3. Very interesting. Nina swali moja kwa wachaga: wakati nasoma moshi miaka ya tisini niliwahi kusoma kwenye jarida moja lilikuwa linatolewa na KKKT dayosis ya kaskazini lilikokuwa na kichwa cha habari SIRI YA MTUNGI kwamba mbege ikishalala inakuwa NGERA. Na ili kuepuka kuwa ngera inachanganywa na mavi kidogo ya binadamu. Je hii ni kweli?

    Ngera ni pombe ambayo haina quality nzuri na kipato chake ni kidogo. Kwa wahehe ingeitwa MKANGAFU.

    ReplyDelete
  4. thanks to whoever sent this video clip to Michuzi,and much thanks to TRAVEL CHANNEL to take their bid for this wonderful culture exposure,exploration and experience.Am very proud TAnzanian and proud to be from Africa.
    God bless Africa,Godbless TANZANIA, God bless Michuzi blog.
    I dearly missed TANZANIA.
    BAYarea-california.

    ReplyDelete
  5. Thanks for sharing. Great documentary. I didn't know even myself how Mbege is prepared.

    ReplyDelete
  6. Ooops hii post imenikumbusha nyumbani Moshi, Mbege, Kiburu na Kisusio lol, nimefurahi sana thanx kaka Michuzi kwa kutuwekea hii.

    ReplyDelete
  7. kwa kweli imetukumbusha nyumbani kwetu Moshi, nikiongezea hapo bila kusahau ngararimo, shilo nk, tunamshukuru sana Mungu wachaga kwa kutumia ndizi tu tunaweza kutengeneza vyakula mbalimbali. Pia kwa kumjibu mwenzetu hapo juu, pombe ikilala inaitwa NGERA ili iwe pombe nzuri tena unapikwa uji kwa kutumia unga wa ulezi halafu inachanganywa nakurudi tena sokoni kama kawaida.

    California

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...