msaaniii wa nyimbo za injili john lisu (kulia) akiwa na mratibu wa tamasha la jehova yu hai litakalofanyika tarehe 4 oct diamond jubileee wakati wakiongea na Waandishi wa habari juu maandalizi ya tamasha hilo leo jijni Dar.
msaniii john lisu akiimba na msaniii mwenzake mchungaji safari paul pamoja na mratibu wa tamsha hilo humfrey mazibaba wakati wa mkutano na waandsihi wa habari.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...