Mwakilishi Maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia Balozi Augustine Mahiga (pichani) leo amethibitisha kwamba vikosi vya jeshi la Kenya vimeingia Somalia.
 
Balozi Mahiga amesema amezungmza na maafisa wa Kenya na Somalia kuhsu hatua hiyo ambayo Kenya inasema imechukua kwa ajili ya usalama na  kukabili uhalifu unaoendeshwa na kundi lwa wanamgambo wa Kiislam la Al-shabaab.

Wanamgambo wa kndi hilo wamekuwa wakiendesha vitendo vya tekaji kwa baadhi ya watalii raia wa kigeni nchini Kenya na hivi karibuni waliwateka wafanyakazi wa misaada kwenye kambi kbwa kabisa ya wakimbizi wa Kisomali ya Dadaab iliyoko Kaskazini mwa Kenya.
 
Balozi Mahiga amesema hatua hiyo ya Kenya haijakiuka sheria za Umoja wa Mataifa. Amezungumza hayo na mwandishi wa Idhaa ya Kiswahili ya Radio ya Umoja wa Mataifa wa Nairobi Jason Nyakundi.
Kusikiliza mahojiano hayo bofya
 http://www.unmultimedia.org/radio/kiswahili/

AU
                     
http://www.facebook.com/UNRadioKis

AU
                     
http://twitter.com/redioyaum

AU moja kwa moja kwenye mahojiano yenyewe

http://www.unmultimedia.org/radio/kiswahili/2011/10/um-wathibitisha-vikosi-vya-kenya-kuingia-somalia/

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Balozi mahiga, I don't think if you are right to say kenya has not violated the UN rules and regulations, because invation of any can't of one country to another is not exceptable, or may I ask did Kenya call for resolution partaining the issue at any time ahead of their invation to Somalia? the answer is no,so Kenya is wrong all the way, the best solution to Kenya's claim is to talk to Somalia Government and if neccessary work together with Somalia Army to eladication the prevailing situation at border. but not to invade or fight against the said group without somalia government concent.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...