Juma lililopita wanajeshi wa majini wa Tanzania, Malawi na Msumbiji walifanya mazoezi ya pamoja ndani ya ziwa Nyasa ya jinsi ya kukabiliana na maharamia. Mazoezi haya yanatokana na maagizo ya nchi wanachama wa SADC.

 Balozi wetu nchini Malawi Mh. Patrick Tsere alihudhuria sherehe za kufungwa kwa mafunzo hayo ambapo walionyeshwa mazoezi hayo ambayo yalifanyika  katika mji wa Salima ulioko kwenye ufukwe wa Ziwa Nyasa.
Balozi Tsere akizungumza na Major General John Msonthi,  Mnadhimu Mkuu (Chief of Staff),   wa Malawi Defence Forces (MDF)
 Balozi Tsere akiwa na askari wa Tanzania waliohudhuria mazoezi hayo.
Balozi akiwa pamoja na Major General Msonthi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. ukimpiga picha mheshimiwa kwanza muweke tai yake vizuri ,

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...