THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

JK ATUNUKIWA UDAKTARI WA SHERIA UDSM

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Balozi Fulgence Kazaura akimtukunu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete digrii ya Heshima ya Udaktari wa sheria(Doctor of Laws Honoris Causa) wakati wa Mahafali ya Arobaini na moja ya Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam iliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam jana.Wakati wa Mahafali hayo Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda alitunukiwa digrii ya Heshima Ya Udaktari wa Fasihi(Doctor of Literature Honoris Causa).Kushoto ni makamu mkuu wa Chuo Profesa Rwekaza Mukandala.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya shukrani muda mfupi baada ya kutunikiwa Digrii ya Heshima ya Udaktari wa Sheria(Doctor of Laws Honoris Causa) katika Mahafali ya Arobaini na moija ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam iliyofanyika katika jana katika ukumbi wa mlimani city Picha ma mdau  Freddy Maro wa Ikulu.


Kuna Maoni 7 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  Ongera Dr.Dr.Dr.Dr.Kikwete

 2. Anonymous Anasema:

  Naragein!

 3. Anonymous Anasema:

  ahha ndo maaana M7 alikuja Dar tena daa kama raia wa bongo kama miaka ile ya 70 kule moshi

 4. Anonymous Anasema:

  HONGERA BABA WA TAIFA,

 5. Anonymous Anasema:

  kweli mkuu wetu kiliza kila kukicha anapata za uzamili tu tena nchi hio hio anayoingoza inimradi haitwe doctor aingie class basi

 6. Anonymous Anasema:

  tunakukumbuka baba wa taifa ,pamoja na kututawala kwa miaka lukuki ulibakia kuwa mwalimu, ndio maana mpaka leo tuna upendo wa dhati kutoka miyooni mweti wewe.

 7. Anonymous Anasema:

  wewe nenda class mwenyewe, wivu tuu. we hata form 6 unaweza kuwa huna. Kikwete kapewa udaktari huko marekani, tena mwanzo kabla wabongo hawajampa.