Mh.Seif Ali Idd,Makamu wa Pili wa Raisi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,akiwa na Naibu Balozi Mama Munaka wakielekea chumba cha mkutano Ubalozini hapo. Kwa Picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. dr Mukama, Kumbe umekuwa afisa ubalozi marekani? Very soon utakuwa full balozi. Big up sana.

    Mdau Moro

    ReplyDelete
  2. Michuzi, Muheshimiwa Seif Ali Idd ni makamu wa rais. Haina haja ya kumwita balozi wakati umakamu wa rais ni heshima ya juu zaidi. Just call him makamu wa rais.

    ReplyDelete
  3. Namfagilia sana huyu Mzee Seif A Idd there is something potential in him. God Bless you. The admirer

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...