Mwenyekiti wa Bodi ya kampuni ya Phils International ya Dubai Bw Mohamed Shariff (kulia) na Meneja Miradi na Mkuu wa idara ya uchoraji wa kampuni hiyo Bw Murad Yusufali pamoja na Mkurugenzi wa Finserve Associates Limited Bw. Peter Machunde wakiwa katika chumba cha mikutano cha White House katika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma leo, kabla ya kufanya presentation kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama hicho. Phils International ni makandarasi wa kuchora na walifanya presentation ya ukumbi mpya wa mikutano wa CCM. Bw. Mohamed Shariff pia ndiye mwenyekiti wa Watanzania wanaoishi Dubai

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. basi ni uamuzi mzuri kuwatumia diaspora. maana mara nyingine tunathamini wengine na kusahau utanzania

    ReplyDelete
  2. Hivi presentation kwa kiswahili ni nini?

    ReplyDelete
  3. Uki-google utapata tafsiri ya PRESENTATION kwa Kiswahili. Next question...

    ReplyDelete
  4. Asante mkuu!
    Kwa uelewa wa kitanzania,Mkandarasi ni yule anayejenga! hawa wanaochora no Consultants-Washauri au Designers (Wabunifu). Kwa hiyo nahisi hawa wanaofanya presentation ni Wabunifu wa Ukumbi Huo/Designers(Architects) na si wakandarasi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...