Kaimu katibu tawala wilyaya ya Mbeya Geofrey Anania akihutubia wananchi wa jiji la mbeya wakati wa Maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani.
Daktari wa watoto toka hospital ya rufaa mbeya Dr. Brenda Anosike akielezea jinsi ya kuwatunza watoto waliopata maambukizi ya ukimwi.
Afisa mtendaji kata ya ilomba akipokea boksi la kondom toka kwa mgeni rasmi.
Wanafunzi wa shule ya msingi wakiimba kwa huzuni wimbo wa kuwakumbuka waliokufa kwa ukimwi.Picha na Mbeya yetu Blog.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. True emotions jamani...watoto wanalia kikweli kweli. Tujirudi kwenye tabia zetu tutokomeze hili gonjwa wajameni.

    ReplyDelete
  2. Hii inanikumbusha kipindi cha maombolezo ya Nyerere watoto walikuwa wakiangua vilio kwenye TV si mchezo! so sad

    ReplyDelete
  3. nilikupo kwenye hafla hii walipo anza kulia na wimbo nao ukafa hapohapo kwa kwikwi,na vilio hata kwa wageni waalikwa!

    ReplyDelete
  4. Kazi ya muthungu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...