Mkuu wa chuo kikuu kishiriki cha ushirika na biashara,Prof Faustine Bee akizungumza na wananfunzi (hawako pichani) wakati wa sherehe za kutunuku zawadi kwa wanafunzi waliofanya vizuri katika masomo,uongozi na michezo.
Prof Kambarage akizungumza na wanafunzi(hawako pichani.) mara baada ya zoezi la kukabidhi vyeti na zawadi kwa wanafunzi waliofanya vizuri.
Prof Kambarage akitoa zawadi na cheti kwa mwanafunzi Hellen Ndosi wakatik wa sherehe ya kutunuku vyeti kwa wanafunzi waliofanya vizuri.
Prof Kambarage akitoa zawadi na cheti kwa mwanafunzi Losivo Mollel wakati wa sherehe ya kutunuku vyeti kwa wanafunzi waliofanya vizuri.
Mgeni rasmi Prof Kamabarage akikabidhiwa zawadi na mmoja wa wafanyakazi wa MUCCoBS kwa niaba ya mkuu wa chuo hicho Prof Bee.
Prof Kambarage akimkabidhi Rozi Mtei ,rais mstaafu wa serikali ya chuo hicho zawadi mahsusi kwa ajili ya uongozi bora wakati wa kipindi chake akiwa madarakani.
Wanafunzi wa chuo kikuu kishiriki cha ushirika na biashara wakiwemo wahitimu,wakifuatilia hotuba ya mkuu wa chuo hicho Prof Bee.Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii Moshi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. wote waliofanya vizuri makristo. tunaona mfumo kristo at work.

    ReplyDelete
  2. Matukio mengi ya kughushi matokeo na wizi wa mitihani na tuhuma ngazi zote kuanzia elimu ya sekondari hadi ya juu, zimetokea ktk taasisi za Elimu za Kikristo!

    ReplyDelete
  3. Ref: Anonymous, unajua uwezo wa mtu hauhusishi dini wala kabila, class tulikua wengi nam mmoja wao ila kiukweli walinizidi uwezo, mbona tulikua na wengi wa dini tofauti kama A.R, na alikua na uwezo ila matokeo ndio yaliotoa zawadi na sio uwezo, k? weka dini mbali kwenye mambo kama haya, hakuna wizi wala ndumba, soma kijana acha kushinda madrasa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...