HII NDIYO TUZO YA HESHIMA KWA NHIF ILIYOTOLEWA NA TAASISI YA HIFADHI YA JAMII DUNIANI (ISSA) YA KUTHAMINI NA KUTAMBUA MABORESHO NA UBUNIFU ULIOTUKUKA KWENYE HUDUMA ZA AFYA BARANI AFRIKA. 
MKURUGENZI WA NHIF BWN EMANUEL HUMBA AKIWAONYESHA WANAHABARI TUZO YA MSHINDI WA KWANZA BARANI AFRIKA KWA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII ILIYOTOLEWA NA TAASISI YA KIMATAIFA YA HIFADHI YA JAMII DUNIANI (ISSA) KWENYE UKUMBI WA MIKUTANO WA NHIF MAKAO MAKUU.
HIZI NDIZO TUZO NA VYETI VYA HESHIMA AMBAVYO MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA KUTOKANA NA KUBORESHA HUDUMA NA UBUNIFU KATIKA KIPINDI KIFUPI TANGU KUANZISHWA KWAKE.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...