THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

Waziri Mkuu akutana na Balozi wa Sudan nchini leo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Sudan nchini, Dkt Yassir Mohamed Ali, Ofisini kwake jijini Dar es salaam leo.


Kuna Maoni 5 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  sasa barozi wa sudani ipi? ya kaskazini au kusini?

 2. Anonymous Anasema:

  unaposema balozi wa sudan inabidi uwe specific suadan ya kusini au kaskazini.

 3. Anonymous Anasema:

  Ni BALOZI sio "BAROZI" lugha yetu wenyewe hatuijui.Nadhani atakua North Sudan kama sikosei.

 4. Anonymous Anasema:

  Jamani hakuna nchi inayoitwa North Sudan. Kuna Sudan na South Sudan.

 5. Anonymous Anasema:

  Huyu ni Balozi wa North Sudan (Khartoum),,,hawa hawana mpango wamesha filisika ,wamebaki kuwabania wenzao Kusini na mabomba ya Mafuta na Mitambo yao, wanatapatapa wameomba kujiunga Afrika Mashariki tumewamwaga,,,SISI TUNAWATAKA wenzao ''REPUBLIC OF SOUTH SUDAN-JUBA'' Wajanja na wenye Mafuta yao ndio waingie AFRIKA YA MASHARIKI!