Katibu Mkuu wa Mambo ya Ndani Mh. Mbaraka Abdulwakil, akitoa zawadi kwa mmoja wa wahitimu wa Chuo cha Polisi mjini Mochi leo. Kulia  ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Saidi Mwema,

Gwaride likipita mbele ya mgeni rasmi kwa mwendo wa haraka likitoa heshma. Picha zote na Mohammed Mhina wa Jeshi la Polisi  

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hongera sana Rojas Mlay najua upo hapo. Uwe solder wa mfano.

    ReplyDelete
  2. Huyo kamanda wa pili hiyo kofia vipi au macho yangu tu kama si usanii.

    ReplyDelete
  3. wakati wa kwenda kupokea kitu kidogo umefika.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...