Chuo maalum kwa ajili ya kutoa ajira za chapchap kimefunguliwa hapa Kiborloni. Chuo Kimesajiliwa na VETA na kina waalimu waliobobea katika nyanja zote.

Chuo kinapokea maombi kwa wanafunzi waliomaliza darasa la saba au waliofeli Form IV kwa ajili ya kozi zifuatazo:-

1.** **Ulevi Mwezi mmoja

2.** **Ujambazi miezi sita

3.** **Kuchoma mtu kisu wiki moja

4.** **Kuchoma nyama kwenye baa miezi miwili

5.**** Kung’arisha viatu wiki tatu (Maalum kwa vijana wa Rombo)

6.** **Kuuza duka miezi mitatu

7.** **Kurekebisha mipaka ya kiwanja cha jirani miezi minne

8.** **Kupata mume msomi na mwenye wadhifa mkubwa miaka miwili

9.** **Kufuga ng’ombe mwaka mmoja

10.** **Kuendesha pick-up miezi minne

11.** **Kugombea udiwani miaka miwili

12.** **Kuendesha pikipiki za bodaboda na bajaji wiki sita

13.** **Kuchakachua mafuta mwaka mmoja

14.** **Kupata kazi TRA miezi mitatu

15.** **Kukwepa kodi wiki nane

16.** **Jinsi ya kuishi eneo la Kimara, Dar es salaam; na

17.** **Kukatisha tiketi kwenye magari ya Moshi, Dar na Arusha ni bure

Mwanafunzi lazima awe Mchaga wa kuzaliwa pia baba na mama yake wawe Wachaga, mwenye elimu ya msingi au kidato cha nne na asizidi miaka 21

Mwisho wa kupokea maombi ni kabla ya Pasaka ya mwaka huu wa 2012 saa 10.00 jioni. Maombi haya yasitumwe siku ya Ijumaa Kuu.

Nafasi za malazi zipo. Utapata nafasi ya kufanya mazoezi ya ziada ya kimasomo usiku na week end kulingana na kozi uliyoichagua. Watakaojiandikisha mapema watafundishwa bila malipo. Kipaumbele kitapewa kwa kina Manka na Meku.

Maommbi yatumwe: 
Mkuu wa Chuo, 
Chuo cha Waliobobea katika Kusaka
Fedha, PO Box 2, 
Kiborloni, Moshi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Mmmmh!Hivi ni kweli kuwa Kimara ni ya Wachagga?

    ReplyDelete
  2. Kaaaaaaaaaaaazi kwlkwl!

    Mkulima-Kijijini Gezaulole.

    ReplyDelete
  3. Yaani we acha tu. Rafiki yangu mmoja mama mchaga aliniambia, bwana wazazi wa kichaga wakiwausia watoto wao kwamba usikate tamaa ikafikia hadi ukaiba mpaka giza limeingia. Yaani kumkwapua mtu its a culture. Hivi ni kweli??? Lakini huyu mama sasa marehemu alikuwa hatutaniani alinielezea silka za kichaga kuiba si kosa.

    ReplyDelete
  4. Mimi nitaaply hiyo ya namba 8. Hiyo noma naitaka

    ReplyDelete
  5. Wachaga kwa wizi wa kuibia wateja madukani ni hatari,na wenye maduka wengi ni washirikina sana,unamuwangia muhusika na asiyehusika

    ReplyDelete
  6. Yaani mchaga hata akiwa mlokole bado anaiba. Nakubali wanapenda maendeleo, lakini njia wanayotumia ni mbaya, inatia kichefuchefu! Hapo kasahau tu kuwa wanapenda sana uhasibu, sasa kwa kuchakachua hapo! Pia usipowapa chochote basi check yako imekwamishwa!!

    ReplyDelete
  7. Hahahahaaaaaaa, mimi ni mchaga na ninaishi kimara, ujumbe ni kwamba sisi wachaga hatuna haja ya kusoma hizo kozi zilizo horotheshwa maana hizo kozi zote tunazaliwa nazo kutoka tumboni kwa mama zetu. Ahsanteni.

    ReplyDelete
  8. Nakubalina na mdau aliyesma yeye mchaga na kuwa kozi zote hizo wanakuwa wamehitimu na kupata cheti siku wanayozaliwa. Kozi wanayohitaji wao ni ya kuwa na utu na upendo! Ukishakuwa mpenda fedha hizo sifa za utu na upendo huwa hazipo kabisa!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...