Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Bora turudi kwenye Uchumi wa Ujima wa Uchukuzi na Usafiri wa Punda badala ya kuangukia kwenye Utumwa wa Uchumi na Kodi ya Mafuta!

    ReplyDelete
  2. Zamani ilikuwa kutamu sana, yaani we acha tu maisha bila kwenda Kituo cha Mafuta, hakuna kelele za magari wala honi, hakuna moshi wa magari,hakuna ajali za barabarani, hakuna kwenda gereji, cha msingi ni MANYASI NA MAJI YA KUTOSHA KWA PUNDA!

    BORA TURUDI KWENYE ENZI ZA UJIMA!

    ReplyDelete
  3. Hapo kuwa na Punda aliyenenepa na kunawiri vizuri ndio sawa na kuwa na Mercedes Benz!,,,,unampata demu kirahisiii!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...