Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Linah, wimbo wako ni mzuri sana kama nyingine unazoimba. Ila shooting mbona umeiharakisha sana mchumba?

    ReplyDelete
  2. Alaahhh

    Linah kumbe unajua kuvaa kwa adabu sio ?

    Wakati mwingine unakuwa kama Mcharuko vilee !

    ReplyDelete
  3. Hu mwimbo ni wa bima modern ama muungano dance. I love the song. umefanya vyema kuutengeneza kwani da memories about this song ilipotea. Thanks 10000000 times

    ReplyDelete
  4. hii ni taarabu au sijaelewa!sio mzuri

    ReplyDelete
  5. makubwa wanakuingilia na nani tena au (Amini niniiiiiiiiiiiiii

    ReplyDelete
  6. wape wape swaiba manake wamezidi

    ReplyDelete
  7. SHOOTING MBAYA KINOMAAAAAAAAA UMEWAOKOTA WAPI HAO WANAWAKE ILA HIYO STAIL YA MATARUMBETA NIMEIPENDA

    ReplyDelete
  8. jamani wimbo mzuri sana naomba kama kuna mtu anajua aliyeiimba huu wimbo zamani anipe jina niwazekusikiliza ktk youtube pls nataka orginol yake huu wimbo nilikuwa naupenda sana lakini nimesahau aliyeimba

    ReplyDelete
  9. Hao unawaona wanawake njaa ni mama za watu kama ww na ndio maisha ya kibongo hayo..ulitaka wajitwike kama Beyonce sio ili uwasifie mapaja...

    ReplyDelete
  10. Anon. Uliyetaka kufahamu hapo juu. Huu wimbo uliimbwa na kikundi cha BIMA MODERN TAARAB miaka hiyo na aliyeimba nyimbo hiyo alikuwa akiitwa Bi Maryam Nailoni, kwa sasa hayupo tena duniani (Mwenyeez Mungu amrehemu na amlaze pema PEPONI pia amughufirie kwa yote - AMEN). Ila sidhani kama ipo kwenye U-tube, lakini jaribu kuangalia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...