Mmoja wa Wanafunzi Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) akishusha Baadhi ya vifaa vya kufanyia usafi wakati wanafunzi wa UDOM walipowasili Shule ya Sekondari ya Viwandani iliyopo Manispaa ya Dodoma Mjini mchana wa leo.

Wanafunzi wa Klabu ya Mazingira ya Shule ya Sekondari ya Viwandani iliyopo kwenye manispaa ya Dodoma wakiwa katika Picha ya Pamoja na baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Dodoma(UDOM) waliotembelea Shule hiyo Mchana wa leo.
  Kwa habari na picha zaidi tembelea libeneke la Josephat Lukaza




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. SAFI SANA NA NAWAPONGEZA KWA HILO WANAFUNZI KWA KUONYESHA KUWAKUMBUKA WANAFUNZI WA SEKONDARI NA KUWASAIDIA NA KUONYESHA MOYO WA KUWASAIDIA BIG UP SANA

    ReplyDelete
  2. safi sana wadogo zangu, mkiweza muwapitie kabla ya mitihani muwasaidie kupigapiga brush masomoni.
    Che

    ReplyDelete
  3. Huu ndo ukubwa kwani mkubwa huonyesha mfano mzuri

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...