THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

BREAKING NYUZZZZZ........ANKAL AULA KWA KUANZISHA HUDUMA YA BURE YA WIFI

Rais Barak Obama wa Marekani akimtambulisha Ankal ambaye amechaguliwa kutunukiwa nishani ya kuwa mwana Libeneke Bora Duniani kutokana na mchango wake mkubwa wa kuunganisha watu mbalimbali duniani kwa njia ya mtandao huu wa jamii. Tuzo hiyo imetolewa na American Celebrities Guild na inaambatana na zawadi ya kitita cha dola 800,000 za Kimarekani. Hafla hii imefanyika leo huko Los Angeles.

Ankal amepewa heshima hiyo baada ya Globu ya Jamii kushinda tuzo ya Huduma Iliyotukuka hasa baada ya kuanzisha huduma za bure za mtandao, ambapo hivi sasa mdau unaweza kupata MichuziBlog Wifi bure katika kila sehemu iliyo na Hot Spot ya UhuruOne ambayo imeanzia jijini Dar es salaam wiki iliyopita na sasa juhudi za kuisambaza nchi nzima ili kuwafikia wadau wengi.

Ankal amealikwa kwenda Washington DC, Marekani kwenda kukabidhiwa tuzo hiyo na Rais Obama katika Ikulu ya Marekani Aprili 10 mwaka huu. pamoja na hio  na zawadi ya kitita cha dola 800,000 za Kimarekani kama kifutia jasho na pia pesa ya kupanua wigo wa Globu ya Jamii.
Kwa habari zaidi ya huduma hiyo ya bure ya MichuziBlog Wifi
BOFYA HAPA
Mcheza sinema maarufu duniani Brad Pitt naye alikuwepo kuunga mkono tuzo aliyopewa Ankal ambapo yeye na mastaa wengi wengine walisaini mabango ya picha ya Ankal yatayosambazwa kila mahali duniani katika promosheni kabambe iliyoasisiwa na American Celebrities Guild na kutolewa kwa mtu anayejali maslahi ya jamii


Victoria Beckham, mke wa mwanasoka maarufu  David Beckham, naye alikuwa miongioni mwa nyota kibao waliokuwepo kumsapoti Ankal na Globu ya Jamii. LIBENEKE OYE!


Kuna Maoni 132 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  Hongera kaka, wewe ni mfano mzuri wa kuigwa na blogger wengine.

 2. Anonymous Anasema:

  ANKAL YOU WONT GONNA FULL NO BODY,

 3. Anonymous Anasema:

  siku ya wapumbavu dunuani

 4. Anonymous Anasema:

  apr fool

 5. Sawa kaka leo ni siku ya wajinga teh teh.....!

 6. Anonymous Anasema:

  april fuuuuuuuuuuuuul ankal.
  mdau wa washington

 7. Anonymous Anasema:

  Happy fools

 8. anjela Anasema:

  1st april fools day ujanipata bado ankal.

 9. Anonymous Anasema:

  APRIL fuuuuuuuuuuuul,ankal congrants.
  mdau washington

 10. Anonymous Anasema:

  APRIL fuuuuuuuuul,ankal congrants
  mdau washington

 11. Anonymous Anasema:

  Sikukuu ya wajinga hiyo

 12. Anonymous Anasema:

  April fools day

 13. Anonymous Anasema:

  aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mzee michuzi cku ya wajinga ume

  aaaaaaaaaaaaaaaa mzee michu umemkata huyo mtoa maoni hapo juu

 14. Anonymous Anasema:

  happy april fools day

 15. Anonymous Anasema:

  safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii sana mzee upo juu

 16. Anonymous Anasema:

  Happy Fools Days kaka.

 17. Anonymous Anasema:

  Siku ya wajinga!!!

 18. Anonymous Anasema:

  Huyooooo, happy foools day!

 19. Anonymous Anasema:

  jamani huku kwetu bado tarehe 03/31/2012

 20. Anonymous Anasema:

  Hamna haja ya hii ankal,bongo kila siku april fools day

 21. Anonymous Anasema:

  hahahahahahhh kalaga-bao. kweli April 1st

 22. Anonymous Anasema:

  he he hee humuingizi mtu choo cha kike labda wale wa kulee nanjilinji!

 23. Anonymous Anasema:

  happy fools day ankal, mungu akubariki sana!

 24. Anonymous Anasema:

  april fooooooooooooooool oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

 25. Anonymous Anasema:

  Ankal, kama hii habari ni ya kweli basi nakupa hongera nyingi sana ndugu yangu. Lakini leo hii April 1st kidogo inanifanya kuwa na kawasiwasi kama hii ni kweli au...

 26. Anonymous Anasema:

  April fool!!!!

 27. Anonymous Anasema:

  Kweli umewapata wengi leo siku ya wajinga dah!

 28. Anonymous Anasema:

  au huu ndio mchezo wa tarehe mosi april kila mwaka?

 29. Anonymous Anasema:

  Fotoshopu hizo ankal mambo ya sikukuu ya wapumbavu.Siyo siri lakini nakupata tano kwa free WIFI

 30. Anonymous Anasema:
  This comment has been removed by a blog administrator.
 31. Anonymous Anasema:

  April fools, humpati mtu Ankal, lol!

 32. Anonymous Anasema:

  Ankal, hapa utalamba vichwa kishenzi. Hadi saa sita mchana utakuwa umewajaza kwa magunia.

  Abiola Jr, Mafia kiduka cha juice.

 33. Anonymous Anasema:

  Bwahahahaaaaaaaa April fool's day

 34. Anonymous Anasema:

  Aaa wapi, mimi hujanipata, labda utume tena hii habari tarehe 2.

  Ila ninauheshimu mchango wako.

 35. Anonymous Anasema:

  hunipati leo ni foolish day

 36. Anonymous Anasema:

  Huku bado march 31st. But hey - April fool's day

 37. Anonymous Anasema:

  Duuh ankal bonge la news hizo laiti tu isingekuwa april mosi. Hongera enewaiz kwa ubunifu!!!!!!!!!!!

 38. Anonymous Anasema:

  April fool brother.....!!

 39. Mzungu Anasema:

  A.F......nice one he hee

 40. Anonymous Anasema:

  Fools day in full effect.

 41. Anonymous Anasema:

  APRIL FOOLS PRANKS DAY!!!!!

 42. Anonymous Anasema:

  hongera sana

 43. Anonymous Anasema:

  siku ya wajinga...

 44. Carrie Anasema:

  fools day unipati ng'ooo nice one

 45. kuntry Boy Anasema:

  Aprils
  fools DAY

 46. Anonymous Anasema:

  mwaka huu hujatupata na siku ya wajinga

 47. Anonymous Anasema:

  April Fools Day


  Kuntry Boy
  Mississippi

 48. hobidan Anasema:

  siku ya wajinga leo uncle!

 49. Anonymous Anasema:

  Leo tarehe 1 April...

 50. Anonymous Anasema:

  Happy fools day

 51. Anonymous Anasema:

  We Michezi acha zako ujamkamata mtu bado leo siku ja wajinga sio ahahahahahaha

 52. Anonymous Anasema:

  siku ya wajinga duniani.hii habar si ya kweli

 53. Anonymous Anasema:

  We Michezi acha zako ujamkamata mtu bado leo siku ja wajinga sio ahahahahahaha

 54. Anonymous Anasema:

  Hongera siku ya wajinga duniani...

 55. AzaniaBitozi Anasema:

  Michu za masiku ndugu yangu.Ngoja tuone wangapi utawapata leo. Anyways, kama kawaida comments zangu usiziweke tuone mabwege wangapi utawapata zis taimu

 56. Anonymous Anasema:

  Haya sas hapa DC tunajiandaaje kumsuport Uncle? Maaana lazima tuiwakilishe nchi yetu ipasavyo, tafadhali Michuzi tuwekee ratiba ya hii shughuli some of us are interested to be part of it hata vigelegele tuuu kukushangilia inatosha! Keep us posted. U desersve more than this tuzo kwani wengi wetu tuliopo huku nje tunakuwa up to date na mambo yote yanayotokea nyumbani through your blog. Naanza siku na issamichuzi na ninamaliza siku na issamichuzi! Keep up good job na uendelee kubarikiwa.
  MDAU WASHINGTON D.C

 57. Anonymous Anasema:

  japo kuwa ni siku ya wajinga dunia,lakini bado una nafasi ya kufikia hiyo level,komaa.

 58. Anonymous Anasema:

  dah wajinga wapo wengi, haya Happy fools day Ankal.

 59. MIMI Anasema:

  Hahahahaha poleni kwa wote mlioamini, Happy Fools Day.....Ankal me hujanipata......hahahahaha

 60. Anonymous Anasema:

  happy fools day ankal

 61. Anonymous Anasema:

  Happy April's fool the fooled fools !!! ...

 62. Anonymous Anasema:

  MWAKA JANA ULINIPATA ULIPOTOA ZILE PICHA ZA KUPATA KAZI UBALOZINI MAREKANI.

  THIS YEAR UMECHEMKA KWANGU.

  ANYWAY - IT ALL ENDS BAADA YA SAA NNE/TANO.

  PRINCE SAB - WERRASONIQUE.

 63. Anonymous Anasema:

  Ankal you can fool yourself i ain't no fool

 64. Anonymous Anasema:

  April fools....

 65. Mkibosho Anasema:

  Hongera ya nini nyie? leo ni siku ya wajinga duniani! atapata wapi nafasi hiyo MIchu? saa hizi yupo kwao maneremango anakula ugali kwa mlenda!

 66. MAGANGA ONE. Anasema:

  Haya Uncle umewapata wengi kwani bado wana usingizi wa Kalenda.sio mbaya inapendeza sana endelea kuwakamata,mimi siwashtui hao,maana saa sita bado.waalike kwenye mnuso maana........

 67. Anonymous Anasema:

  wajinga wazembe na wakulima eo tunaingia mkenge mkuku mkuku ha ha ha ha!!!!

 68. CRISPS Anasema:

  April's fools - hizi ndoto za alinacha za ankal ni balaa! Naona keshawaokota hao wadau watatu hapo juu tena vizuri kabisa. Teh, teh... :-)

  Buckinghamshire

 69. Anonymous Anasema:

  Mmm! Hii imkaa kifools day fools day hahahahaha

 70. Anonymous Anasema:

  Leo ni Siku ya WAJINGA DUNIANIA!

 71. Anonymous Anasema:

  watu michuzi kawaweza kweli enjoy April 1st

 72. Carl E.S Anasema:

  Hili haliwezi kuachwa bila kutambuliwa Kitaifa. Ankal amekuwa mfano mzuri sana wa kuwahabarisha na kuwaunganisha Watanzania ndani na nje ya nchi. Lakini ajabu sisi hatutambui hayo mpaka wenzetu wameona hilo. Juzi kulikuwa na tuzo za waandishi bora nchini lakini hakutambuliwa! Jamani umefika wakati mtu akifanya vizuri Asifiwe na kupata ushirikiano wa Serikali na wadau wengine kufanikisha ndoto zake haswa jambo lenyewe linapogusa jamii.
  Ankal, hongera sana kaka yetu, hakika hayo ni mafanikio makubwa sana ya kujibunia.

 73. Anonymous Anasema:

  Mhhh ngoja ni mezeeee uncle jioni ntacomment umenisoma eheeee

 74. AMANI MSUE Anasema:

  hamjui leo sikuku ya wajinga eeeeh......

 75. Anonymous Anasema:

  sikukuu ya wajinga hahahahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

 76. Anonymous Anasema:

  April hii...mbona kazi ipo!!

 77. Anonymous Anasema:

  Acheni nyie kweli umewapata hao wajinga ..................

 78. Anonymous Anasema:

  SIKUKUU YA WEHU LEO.

 79. Anonymous Anasema:

  Siku ya wajinga

  Richard - Trondheim

 80. Anonymous Anasema:

  Happy fools day uncle!ha ha ha ha

 81. Anonymous Anasema:

  APRIL FOOLS DAY PRANK!!

 82. Anonymous Anasema:

  APRIL FOOLS DAY PRANK!!

 83. Anonymous Anasema:

  jamani leo ni siku ya wajinga msiingie tu kichwa kichwa hizi picha ni photoshop

 84. Anonymous Anasema:

  Hivi we mzee wa kamba!

  Bado watu wanaendelea kuingia mjini mpak saa hizi? Hii siku kweli nzuri.

  Haya utoe matokeo kamili tujue umewachapa wangapi mwaka huu.

  Wajinga kweli ndio waliwaoooo!

 85. koku Anasema:

  APRIL FOOL..hahaaaaaaaaaa

 86. Anonymous Anasema:

  MH!!! UNCLE LEO SIO SIKUKUU YA WAJINGA?????? HAHAHAHAHA. WATOTO WA TANDALE WABAYA UNCLE ANGALIA WASIJE KUKUVAMIA BURE WAKADAI MGAO WA $800,000 HAHAHAH

 87. Anonymous Anasema:

  HAHAHAHA UNCLE NIMEKUSHTUKIA APRIL FOOL LEO.

 88. Anonymous Anasema:

  ALA KUMBE LEO NI SIKUKUU YA WAJINGA..UMEKAMATA WADAU...CHACHACHACAHAHAHAHAHAH

 89. Anonymous Anasema:

  Wajinga ndio waliwao! Siku kuu yenu hii na leo tarehe 01/04/2012 mnaisherehekea Rasmi na Mkuu wa Wilaya ya Tegeta kama mgeni Rasmi, pongezi kwa wote na hongera Mhe Michuzi katika fani hii ya usanii kwa kweli umewapata

 90. Anonymous Anasema:

  Habari kama hizi zinapotolewa siku kama ya leo zinahitaji tafakari ya hali ya juu kabla ya kutoa pongezi maana today is FOOLISH DAY, hongera hata hivyo japo ninatafakari pia

 91. Anonymous Anasema:

  Congratulation Sir. You deserve this. Keep it up!!

 92. Anonymous Anasema:

  Jombiiiiiiiii, umeula eee, yani ungepiga suti kwa hizo post zako ingekuwa swafiiiiii


  Happy April Genius

 93. Anonymous Anasema:

  haaaa haaaa haaaa, wajinga ndio waliwao. Sikukuu ya Wajinga leo.

 94. Anonymous Anasema:

  GOO FOOL DR KIKWETE

 95. Anonymous Anasema:

  Happy Fools Day!

 96. Anonymous Anasema:

  April fool

 97. Anonymous Anasema:

  What a fool....

 98. lilly Anasema:

  happy wajinga day

 99. Anonymous Anasema:

  Juu Juu Juu zaidi.

 100. Anonymous Anasema:

  Fools must learn in hard way " Happy fools day"

 101. Anonymous Anasema:

  Hahahaha "HAPPY FOOLS DAY!"

 102. Anonymous Anasema:

  Hahahaha, tehtehteh. SIKU ya PUNGU1. Umewasomba kweli, tihtihtih.

  SEA

 103. Anonymous Anasema:

  ok uncle, tumekupata, leo ni tar 1.4.2012

 104. Anonymous Anasema:

  Ankal naona umewapata kweli kweli hapo juu!

 105. Anonymous Anasema:

  lakini kumbuka its April 1st.

 106. Anonymous Anasema:

  Ni siku ya wajinga , humpati mtu ankal. We endelea uko uko bongo tu

 107. Anonymous Anasema:

  Amewapata. Tarehe ngapi leo?

 108. Anonymous Anasema:

  Is it not a fools- day means of gaining popularity?

 109. Anonymous Anasema:

  Ah aah aaaah sina mbavu. Top Award April Fools TZ!

 110. Anonymous Anasema:

  HONGERA SANA KAKA MICHUZI UMEONYESHA MFANO MZURI KWA WATANZANIA

 111. Anonymous Anasema:

  Hongera kaka Michuzi. Wewe ni mfano mzuri kwa watanzania wengine.

 112. Anonymous Anasema:

  HAppy April fool

 113. umewapata sana watu siku kuu ya wajinga leo!

 114. Anonymous Anasema:

  leo siku ya Wajinga.

 115. Anonymous Anasema:

  Guys today is a foolish day

 116. Anonymous Anasema:

  ANKAL ANGALIA HAYO MATANGAZO YA HIVYO WASIKE WAZEE WA KAZI NA VYUMA BURE, KUMBE UMELALA NA NJAA,WANAFIKIRI UNA KITITA NDANI! WEE BBWANA HIO APRIL FOOL TUNAIJUA SISI MAJAMBAZI WASIOKWENDA SHULE WANAAMINI NI KWELI ANGALIA ANKAL USIJICHIMBIE UMAUTI, BONGO IMEKAA PABAYA.

 117. Anonymous Anasema:

  Ankal ni April fool kama kuchaguliwa utachaguliwa mwenyekiti wa serikali za mtaa na majirani zako.

 118. Anonymous Anasema:

  Sasa Ankal phot—Čshop huijui kiasi hicho! Iko cheap sana, mpaka inajulikana kama ni feki!
  Angalia wenzio huku walivyotengeneza vitu, hapa kuna watu waliamini kwamba Rais Mteule wa Urusi Vladimir Putin amekamatwa kwa Uhujumu wa nchi huyu hapa kizimbani
  http://www.youtube.com/watch?v=v1hLtFn4CLU

 119. Anonymous Anasema:

  kama kweli una screen comments, imekuwaje ukatoa comment ya anon. Sun Apr 01, 05:36:00 AM 2012?????

  please msituchafule blog, kama mtu haweze kutoa maoni kwa heshima bora aache. kwa ujumla huyo anon wa Sun Apr 01, 05:36:00 AM 2012 labda yeye ndio ana tabia hizo. inakuwaje hadi amtukane mzazi wa uncle? nimesikitika sana maana nina imani watoa maoni humu tu watu wazima na sijui ni picha gani tunatoa kwa jamii. Mungu atuhurumie, kwa kweli naomba mungu amfanye mtoa maoni kuwa mu- injilist... Amen.

 120. Anonymous Anasema:

  HONGERA ANKAL

  Hongera kwa kunicatch mwaka jana na mwaka huu.
  Ila nakuombea iwe kweli.
  Usisahau kuwa wafanya kazi sana na jamaa wengi tulio nje ya nchi umekuwa kama our umbilical connection to Bongo.

 121. Mjengwa Anasema:

  Kaka hongera kwa kuipamba vema siku ya wajinga. Uko juu!

 122. Anonymous Anasema:

  Hivi wewe hapo juu unaemtusi Michuzi, kwa maneno ambayo siwezi kuyarudia hapa, naomba nikuulize swali. Je, unalazimishwa kusoma hii blogu? Kama unaona kuwa inapendelea upande moja kwa nini unaendelea kuirudia kila siku. Soma blog zingine. Nenda kasome jamiiforum, rai na wengineo. Na je, umeshindwa kuanziha ya kwako? Kwa sababu, mimi ninavyojua kutengeneza blogspot ni bure. Kwa nini usitengeneze ya kwako ambayo itatangaza habari za hao waokuf**a wewe. Nisamehe. Lakini watu kama hawa wanakera kaka Michuzi. Nimalize kwa kusema uhuru wa kusema ni haki ya msingi lakini heshima mbele ya kadamnasi ni muhimu.

 123. Anonymous Anasema:

  Ankal... mimi nimeipenda. hata kama ni fools day, lakini hi inaonesha how big your dreams are!!! You will get there. Just believe in yourself. anaebisha is the fooled fool.

 124. Anonymous Anasema:

  Leo umechemka sana Mkuu Bora ungeweka hiyo picha moja tuu hapo tehe nimeiponda photo fania kwa kweli

 125. Anonymous Anasema:

  Du,Hata mimi nilishaamini ila kwa mashaka.
  Hongera kwa kutuweza.

 126. Anonymous Anasema:

  Anko happy fooool day ila nashukuru umenifunua macho kwa baadhi ya zile picha za kwenye magazeti ya udaku.

 127. Anonymous Anasema:

  Kama si April Fools' day, hongera ankal Michuzi. Na kama ni utani, nakiri unastahili tuzo.

 128. Sunday Shomari Anasema:

  Happy fools Day!Baba hongera kwa utaalam huu wa photoshop hapa nimekuvulia kofia.!!

 129. Anonymous Anasema:

  Hiyo ni sawa na tshillings;1,240,000,000/= you are a richman, no longer michuzi.

 130. Kinyerezi Anasema:

  Hakika umewapata

 131. Anonymous Anasema:

  ITS FOTOFUNNIA SIO PHOTOSHOP GOOGLE PHOTO FANIA DOWNLOADIT ON UR PHONE AU COMPUTER NA WEWE UTAWEZA KUWEKA PICHA KAMA HIZI HAPPY GENIOUS DAY

 132. Anonymous Anasema:

  Mimi sipo ktk 1ST APRIL FOOLS DAY!

  Mimi ninaomba Ankal ukipewa hiyo cheki yako ya US$ 800,000.00 mimi unitumie angalau US$ 1,000.00 tu NITASHUKURU SANA !