Rais Barak Obama wa Marekani akimtambulisha Ankal ambaye amechaguliwa kutunukiwa nishani ya kuwa mwana Libeneke Bora Duniani kutokana na mchango wake mkubwa wa kuunganisha watu mbalimbali duniani kwa njia ya mtandao huu wa jamii. Tuzo hiyo imetolewa na American Celebrities Guild na inaambatana na zawadi ya kitita cha dola 800,000 za Kimarekani. Hafla hii imefanyika leo huko Los Angeles.

Ankal amepewa heshima hiyo baada ya Globu ya Jamii kushinda tuzo ya Huduma Iliyotukuka hasa baada ya kuanzisha huduma za bure za mtandao, ambapo hivi sasa mdau unaweza kupata MichuziBlog Wifi bure katika kila sehemu iliyo na Hot Spot ya UhuruOne ambayo imeanzia jijini Dar es salaam wiki iliyopita na sasa juhudi za kuisambaza nchi nzima ili kuwafikia wadau wengi.

Ankal amealikwa kwenda Washington DC, Marekani kwenda kukabidhiwa tuzo hiyo na Rais Obama katika Ikulu ya Marekani Aprili 10 mwaka huu. pamoja na hio  na zawadi ya kitita cha dola 800,000 za Kimarekani kama kifutia jasho na pia pesa ya kupanua wigo wa Globu ya Jamii.
Kwa habari zaidi ya huduma hiyo ya bure ya MichuziBlog Wifi
BOFYA HAPA
Mcheza sinema maarufu duniani Brad Pitt naye alikuwepo kuunga mkono tuzo aliyopewa Ankal ambapo yeye na mastaa wengi wengine walisaini mabango ya picha ya Ankal yatayosambazwa kila mahali duniani katika promosheni kabambe iliyoasisiwa na American Celebrities Guild na kutolewa kwa mtu anayejali maslahi ya jamii


Victoria Beckham, mke wa mwanasoka maarufu  David Beckham, naye alikuwa miongioni mwa nyota kibao waliokuwepo kumsapoti Ankal na Globu ya Jamii. LIBENEKE OYE!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 132 mpaka sasa

 1. Hongera kaka, wewe ni mfano mzuri wa kuigwa na blogger wengine.

  ReplyDelete
 2. ANKAL YOU WONT GONNA FULL NO BODY,

  ReplyDelete
 3. siku ya wapumbavu dunuani

  ReplyDelete
 4. apr fool

  ReplyDelete
 5. Sawa kaka leo ni siku ya wajinga teh teh.....!

  ReplyDelete
 6. april fuuuuuuuuuuuuul ankal.
  mdau wa washington

  ReplyDelete
 7. Happy fools

  ReplyDelete
 8. 1st april fools day ujanipata bado ankal.

  ReplyDelete
 9. APRIL fuuuuuuuuuuuul,ankal congrants.
  mdau washington

  ReplyDelete
 10. APRIL fuuuuuuuuul,ankal congrants
  mdau washington

  ReplyDelete
 11. Sikukuu ya wajinga hiyo

  ReplyDelete
 12. April fools day

  ReplyDelete
 13. aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mzee michuzi cku ya wajinga ume

  aaaaaaaaaaaaaaaa mzee michu umemkata huyo mtoa maoni hapo juu

  ReplyDelete
 14. happy april fools day

  ReplyDelete
 15. safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii sana mzee upo juu

  ReplyDelete
 16. Happy Fools Days kaka.

  ReplyDelete
 17. Siku ya wajinga!!!

  ReplyDelete
 18. Huyooooo, happy foools day!

  ReplyDelete
 19. jamani huku kwetu bado tarehe 03/31/2012

  ReplyDelete
 20. Hamna haja ya hii ankal,bongo kila siku april fools day

  ReplyDelete
 21. hahahahahahhh kalaga-bao. kweli April 1st

  ReplyDelete
 22. he he hee humuingizi mtu choo cha kike labda wale wa kulee nanjilinji!

  ReplyDelete
 23. happy fools day ankal, mungu akubariki sana!

  ReplyDelete
 24. april fooooooooooooooool oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

  ReplyDelete
 25. Ankal, kama hii habari ni ya kweli basi nakupa hongera nyingi sana ndugu yangu. Lakini leo hii April 1st kidogo inanifanya kuwa na kawasiwasi kama hii ni kweli au...

  ReplyDelete
 26. April fool!!!!

  ReplyDelete
 27. Kweli umewapata wengi leo siku ya wajinga dah!

  ReplyDelete
 28. au huu ndio mchezo wa tarehe mosi april kila mwaka?

  ReplyDelete
 29. Fotoshopu hizo ankal mambo ya sikukuu ya wapumbavu.Siyo siri lakini nakupata tano kwa free WIFI

  ReplyDelete
 30. This comment has been removed by a blog administrator.

  ReplyDelete
 31. April fools, humpati mtu Ankal, lol!

  ReplyDelete
 32. Ankal, hapa utalamba vichwa kishenzi. Hadi saa sita mchana utakuwa umewajaza kwa magunia.

  Abiola Jr, Mafia kiduka cha juice.

  ReplyDelete
 33. Bwahahahaaaaaaaa April fool's day

  ReplyDelete
 34. Aaa wapi, mimi hujanipata, labda utume tena hii habari tarehe 2.

  Ila ninauheshimu mchango wako.

  ReplyDelete
 35. hunipati leo ni foolish day

  ReplyDelete
 36. Huku bado march 31st. But hey - April fool's day

  ReplyDelete
 37. Duuh ankal bonge la news hizo laiti tu isingekuwa april mosi. Hongera enewaiz kwa ubunifu!!!!!!!!!!!

  ReplyDelete
 38. April fool brother.....!!

  ReplyDelete
 39. A.F......nice one he hee

  ReplyDelete
 40. Fools day in full effect.

  ReplyDelete
 41. APRIL FOOLS PRANKS DAY!!!!!

  ReplyDelete
 42. hongera sana

  ReplyDelete
 43. siku ya wajinga...

  ReplyDelete
 44. fools day unipati ng'ooo nice one

  ReplyDelete
 45. kuntry BoyApril 01, 2012

  Aprils
  fools DAY

  ReplyDelete
 46. mwaka huu hujatupata na siku ya wajinga

  ReplyDelete
 47. April Fools Day


  Kuntry Boy
  Mississippi

  ReplyDelete
 48. siku ya wajinga leo uncle!

  ReplyDelete
 49. Leo tarehe 1 April...

  ReplyDelete
 50. Happy fools day

  ReplyDelete
 51. We Michezi acha zako ujamkamata mtu bado leo siku ja wajinga sio ahahahahahaha

  ReplyDelete
 52. siku ya wajinga duniani.hii habar si ya kweli

  ReplyDelete
 53. We Michezi acha zako ujamkamata mtu bado leo siku ja wajinga sio ahahahahahaha

  ReplyDelete
 54. Hongera siku ya wajinga duniani...

  ReplyDelete
 55. AzaniaBitoziApril 01, 2012

  Michu za masiku ndugu yangu.Ngoja tuone wangapi utawapata leo. Anyways, kama kawaida comments zangu usiziweke tuone mabwege wangapi utawapata zis taimu

  ReplyDelete
 56. Haya sas hapa DC tunajiandaaje kumsuport Uncle? Maaana lazima tuiwakilishe nchi yetu ipasavyo, tafadhali Michuzi tuwekee ratiba ya hii shughuli some of us are interested to be part of it hata vigelegele tuuu kukushangilia inatosha! Keep us posted. U desersve more than this tuzo kwani wengi wetu tuliopo huku nje tunakuwa up to date na mambo yote yanayotokea nyumbani through your blog. Naanza siku na issamichuzi na ninamaliza siku na issamichuzi! Keep up good job na uendelee kubarikiwa.
  MDAU WASHINGTON D.C

  ReplyDelete
 57. japo kuwa ni siku ya wajinga dunia,lakini bado una nafasi ya kufikia hiyo level,komaa.

  ReplyDelete
 58. dah wajinga wapo wengi, haya Happy fools day Ankal.

  ReplyDelete
 59. Hahahahaha poleni kwa wote mlioamini, Happy Fools Day.....Ankal me hujanipata......hahahahaha

  ReplyDelete
 60. happy fools day ankal

  ReplyDelete
 61. Happy April's fool the fooled fools !!! ...

  ReplyDelete
 62. MWAKA JANA ULINIPATA ULIPOTOA ZILE PICHA ZA KUPATA KAZI UBALOZINI MAREKANI.

  THIS YEAR UMECHEMKA KWANGU.

  ANYWAY - IT ALL ENDS BAADA YA SAA NNE/TANO.

  PRINCE SAB - WERRASONIQUE.

  ReplyDelete
 63. Ankal you can fool yourself i ain't no fool

  ReplyDelete
 64. April fools....

  ReplyDelete
 65. Hongera ya nini nyie? leo ni siku ya wajinga duniani! atapata wapi nafasi hiyo MIchu? saa hizi yupo kwao maneremango anakula ugali kwa mlenda!

  ReplyDelete
 66. Haya Uncle umewapata wengi kwani bado wana usingizi wa Kalenda.sio mbaya inapendeza sana endelea kuwakamata,mimi siwashtui hao,maana saa sita bado.waalike kwenye mnuso maana........

  ReplyDelete
 67. wajinga wazembe na wakulima eo tunaingia mkenge mkuku mkuku ha ha ha ha!!!!

  ReplyDelete
 68. April's fools - hizi ndoto za alinacha za ankal ni balaa! Naona keshawaokota hao wadau watatu hapo juu tena vizuri kabisa. Teh, teh... :-)

  Buckinghamshire

  ReplyDelete
 69. Mmm! Hii imkaa kifools day fools day hahahahaha

  ReplyDelete
 70. Leo ni Siku ya WAJINGA DUNIANIA!

  ReplyDelete
 71. watu michuzi kawaweza kweli enjoy April 1st

  ReplyDelete
 72. Hili haliwezi kuachwa bila kutambuliwa Kitaifa. Ankal amekuwa mfano mzuri sana wa kuwahabarisha na kuwaunganisha Watanzania ndani na nje ya nchi. Lakini ajabu sisi hatutambui hayo mpaka wenzetu wameona hilo. Juzi kulikuwa na tuzo za waandishi bora nchini lakini hakutambuliwa! Jamani umefika wakati mtu akifanya vizuri Asifiwe na kupata ushirikiano wa Serikali na wadau wengine kufanikisha ndoto zake haswa jambo lenyewe linapogusa jamii.
  Ankal, hongera sana kaka yetu, hakika hayo ni mafanikio makubwa sana ya kujibunia.

  ReplyDelete
 73. Mhhh ngoja ni mezeeee uncle jioni ntacomment umenisoma eheeee

  ReplyDelete
 74. hamjui leo sikuku ya wajinga eeeeh......

  ReplyDelete
 75. sikukuu ya wajinga hahahahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  ReplyDelete
 76. April hii...mbona kazi ipo!!

  ReplyDelete
 77. Acheni nyie kweli umewapata hao wajinga ..................

  ReplyDelete
 78. SIKUKUU YA WEHU LEO.

  ReplyDelete
 79. Siku ya wajinga

  Richard - Trondheim

  ReplyDelete
 80. Happy fools day uncle!ha ha ha ha

  ReplyDelete
 81. APRIL FOOLS DAY PRANK!!

  ReplyDelete
 82. APRIL FOOLS DAY PRANK!!

  ReplyDelete
 83. jamani leo ni siku ya wajinga msiingie tu kichwa kichwa hizi picha ni photoshop

  ReplyDelete
 84. Hivi we mzee wa kamba!

  Bado watu wanaendelea kuingia mjini mpak saa hizi? Hii siku kweli nzuri.

  Haya utoe matokeo kamili tujue umewachapa wangapi mwaka huu.

  Wajinga kweli ndio waliwaoooo!

  ReplyDelete
 85. APRIL FOOL..hahaaaaaaaaaa

  ReplyDelete
 86. MH!!! UNCLE LEO SIO SIKUKUU YA WAJINGA?????? HAHAHAHAHA. WATOTO WA TANDALE WABAYA UNCLE ANGALIA WASIJE KUKUVAMIA BURE WAKADAI MGAO WA $800,000 HAHAHAH

  ReplyDelete
 87. HAHAHAHA UNCLE NIMEKUSHTUKIA APRIL FOOL LEO.

  ReplyDelete
 88. ALA KUMBE LEO NI SIKUKUU YA WAJINGA..UMEKAMATA WADAU...CHACHACHACAHAHAHAHAHAH

  ReplyDelete
 89. Wajinga ndio waliwao! Siku kuu yenu hii na leo tarehe 01/04/2012 mnaisherehekea Rasmi na Mkuu wa Wilaya ya Tegeta kama mgeni Rasmi, pongezi kwa wote na hongera Mhe Michuzi katika fani hii ya usanii kwa kweli umewapata

  ReplyDelete
 90. Habari kama hizi zinapotolewa siku kama ya leo zinahitaji tafakari ya hali ya juu kabla ya kutoa pongezi maana today is FOOLISH DAY, hongera hata hivyo japo ninatafakari pia

  ReplyDelete
 91. Congratulation Sir. You deserve this. Keep it up!!

  ReplyDelete
 92. Jombiiiiiiiii, umeula eee, yani ungepiga suti kwa hizo post zako ingekuwa swafiiiiii


  Happy April Genius

  ReplyDelete
 93. haaaa haaaa haaaa, wajinga ndio waliwao. Sikukuu ya Wajinga leo.

  ReplyDelete
 94. GOO FOOL DR KIKWETE

  ReplyDelete
 95. Happy Fools Day!

  ReplyDelete
 96. April fool

  ReplyDelete
 97. What a fool....

  ReplyDelete
 98. happy wajinga day

  ReplyDelete
 99. Juu Juu Juu zaidi.

  ReplyDelete
 100. Fools must learn in hard way " Happy fools day"

  ReplyDelete
 101. Hahahaha "HAPPY FOOLS DAY!"

  ReplyDelete
 102. Hahahaha, tehtehteh. SIKU ya PUNGU1. Umewasomba kweli, tihtihtih.

  SEA

  ReplyDelete
 103. ok uncle, tumekupata, leo ni tar 1.4.2012

  ReplyDelete
 104. Ankal naona umewapata kweli kweli hapo juu!

  ReplyDelete
 105. lakini kumbuka its April 1st.

  ReplyDelete
 106. Ni siku ya wajinga , humpati mtu ankal. We endelea uko uko bongo tu

  ReplyDelete
 107. Amewapata. Tarehe ngapi leo?

  ReplyDelete
 108. Is it not a fools- day means of gaining popularity?

  ReplyDelete
 109. Ah aah aaaah sina mbavu. Top Award April Fools TZ!

  ReplyDelete
 110. HONGERA SANA KAKA MICHUZI UMEONYESHA MFANO MZURI KWA WATANZANIA

  ReplyDelete
 111. Hongera kaka Michuzi. Wewe ni mfano mzuri kwa watanzania wengine.

  ReplyDelete
 112. HAppy April fool

  ReplyDelete
 113. umewapata sana watu siku kuu ya wajinga leo!

  ReplyDelete
 114. leo siku ya Wajinga.

  ReplyDelete
 115. Guys today is a foolish day

  ReplyDelete
 116. ANKAL ANGALIA HAYO MATANGAZO YA HIVYO WASIKE WAZEE WA KAZI NA VYUMA BURE, KUMBE UMELALA NA NJAA,WANAFIKIRI UNA KITITA NDANI! WEE BBWANA HIO APRIL FOOL TUNAIJUA SISI MAJAMBAZI WASIOKWENDA SHULE WANAAMINI NI KWELI ANGALIA ANKAL USIJICHIMBIE UMAUTI, BONGO IMEKAA PABAYA.

  ReplyDelete
 117. Ankal ni April fool kama kuchaguliwa utachaguliwa mwenyekiti wa serikali za mtaa na majirani zako.

  ReplyDelete
 118. Sasa Ankal phot—Čshop huijui kiasi hicho! Iko cheap sana, mpaka inajulikana kama ni feki!
  Angalia wenzio huku walivyotengeneza vitu, hapa kuna watu waliamini kwamba Rais Mteule wa Urusi Vladimir Putin amekamatwa kwa Uhujumu wa nchi huyu hapa kizimbani
  http://www.youtube.com/watch?v=v1hLtFn4CLU

  ReplyDelete
 119. kama kweli una screen comments, imekuwaje ukatoa comment ya anon. Sun Apr 01, 05:36:00 AM 2012?????

  please msituchafule blog, kama mtu haweze kutoa maoni kwa heshima bora aache. kwa ujumla huyo anon wa Sun Apr 01, 05:36:00 AM 2012 labda yeye ndio ana tabia hizo. inakuwaje hadi amtukane mzazi wa uncle? nimesikitika sana maana nina imani watoa maoni humu tu watu wazima na sijui ni picha gani tunatoa kwa jamii. Mungu atuhurumie, kwa kweli naomba mungu amfanye mtoa maoni kuwa mu- injilist... Amen.

  ReplyDelete
 120. HONGERA ANKAL

  Hongera kwa kunicatch mwaka jana na mwaka huu.
  Ila nakuombea iwe kweli.
  Usisahau kuwa wafanya kazi sana na jamaa wengi tulio nje ya nchi umekuwa kama our umbilical connection to Bongo.

  ReplyDelete
 121. Kaka hongera kwa kuipamba vema siku ya wajinga. Uko juu!

  ReplyDelete
 122. Hivi wewe hapo juu unaemtusi Michuzi, kwa maneno ambayo siwezi kuyarudia hapa, naomba nikuulize swali. Je, unalazimishwa kusoma hii blogu? Kama unaona kuwa inapendelea upande moja kwa nini unaendelea kuirudia kila siku. Soma blog zingine. Nenda kasome jamiiforum, rai na wengineo. Na je, umeshindwa kuanziha ya kwako? Kwa sababu, mimi ninavyojua kutengeneza blogspot ni bure. Kwa nini usitengeneze ya kwako ambayo itatangaza habari za hao waokuf**a wewe. Nisamehe. Lakini watu kama hawa wanakera kaka Michuzi. Nimalize kwa kusema uhuru wa kusema ni haki ya msingi lakini heshima mbele ya kadamnasi ni muhimu.

  ReplyDelete
 123. Ankal... mimi nimeipenda. hata kama ni fools day, lakini hi inaonesha how big your dreams are!!! You will get there. Just believe in yourself. anaebisha is the fooled fool.

  ReplyDelete
 124. Leo umechemka sana Mkuu Bora ungeweka hiyo picha moja tuu hapo tehe nimeiponda photo fania kwa kweli

  ReplyDelete
 125. Du,Hata mimi nilishaamini ila kwa mashaka.
  Hongera kwa kutuweza.

  ReplyDelete
 126. Anko happy fooool day ila nashukuru umenifunua macho kwa baadhi ya zile picha za kwenye magazeti ya udaku.

  ReplyDelete
 127. Kama si April Fools' day, hongera ankal Michuzi. Na kama ni utani, nakiri unastahili tuzo.

  ReplyDelete
 128. Sunday ShomariApril 01, 2012

  Happy fools Day!Baba hongera kwa utaalam huu wa photoshop hapa nimekuvulia kofia.!!

  ReplyDelete
 129. Hiyo ni sawa na tshillings;1,240,000,000/= you are a richman, no longer michuzi.

  ReplyDelete
 130. Hakika umewapata

  ReplyDelete
 131. ITS FOTOFUNNIA SIO PHOTOSHOP GOOGLE PHOTO FANIA DOWNLOADIT ON UR PHONE AU COMPUTER NA WEWE UTAWEZA KUWEKA PICHA KAMA HIZI HAPPY GENIOUS DAY

  ReplyDelete
 132. Mimi sipo ktk 1ST APRIL FOOLS DAY!

  Mimi ninaomba Ankal ukipewa hiyo cheki yako ya US$ 800,000.00 mimi unitumie angalau US$ 1,000.00 tu NITASHUKURU SANA !

  ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...