Mwanahabari  Francis Godwin ambaye ni naibu katibu mkuu  wa klabu ya  waandishi  wa habari mkoa  wa Iringa (IPC) akitoa maelekezo mbele ya  wanahabari  mkoa  wa Iringa  (hawapo pichani) juu ya jitihada  zilizofanywa na vyombo  vya habari nchini katika kuibua habari  za  ukatili  wa kijinsia wakati  wa mafunzo ya  siku moja yaliyoandaliwa na AFNET na kufanyika mjini Iringa
Mkurugenzi  wa  AFNET Bi Sarali Mwaga( wa tano kulia) akiwa na  wanahabari  wa kutoka  vyombo mbali mbali mkoa  wa Iringa mara baada ya kumalizika  kwa mafunzo ya  siku moja ya uandishi  wa habari  wa  kupinga  vitendo vya ukatili wa kijinsia hapa nchini

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...