Wawakilishi wa Bodi ya Tanzania Bureau of standards(TBS) wakiwa Ziarani Japan kuangalia ukaguzi wa magari Kati ni Bw  OLIVER MHAIKI- Mwenyekiti wa Bodi, Charles Ekelege Mkurugenzi Mkuu TBS na Mama Kezia Mwanga Mbwambo, Mkurugenzi wa Uthibiti wa Ubora wa TBS


REPRESENTATIVES OF BOARD OF DIRECTORS OF TANZANIA BUREAU OF STANDARDS(TBS) AND REPRESENTATIVE OF PARLIAMENTARY COMMITTEE HOLD FAMILIARIZATION TOUR TO USED MOTOR VEHICLE INSPECTION COMPANIES CERTIFIED BY TBS IN JAPAN  I.E EAA CO LTD ,AND JAAI CERTIFIED BY TBS.PICHANI NI MOJA YA GARI ILIYOPIMWA INA MIOZI YA JUA (RADIATION TEST LEVEL YA JUU SANA 0.599(MACRO SIEVERT)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 15, 2012

    ASANTENI SANA WADAU, LAKINI MBONA HAPA LONDON KUNA KAMPUNI TUNASIKIA WANAHUSIKA NA UKAGUZI WA MAGARI KWENDA NYUMBANI, MBONA HII TUME/BODI AU KAMATI MBONA HAIJI LONDON KUKAGUA????

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 15, 2012

    Hii bodi wamejitenmgenezea safari huku wakijua siku zao zinahesabika! kaazi kweli kweli!

    tell me about kukumbuka shuka asubuhi!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 15, 2012

    Hao JAAI wako juu sana.Kwa ujumla gari zinazotoka Japan(used) zinakuwa Imara,tutafute sababu zingine.Zinakuwa safi sana..Sijawahi kufika Japan,so ambaye yuko huko atanisaidia.Hawa Wenzetu magari wanayaendeshea wapi?Manake gari likifika Bandarini Dar hata kama lina miaka 15 duniani,utakuta vyuma huko chini bado vinang'aa,hakuna tope,hakuna vumbi,ndani harufu safi,Carpet zile zile za kutoka kiwandani,Ikishafika bongo baada ya mwaka tu,imeshabadilika,mara wameiba mikanda ya pembeni,mara imegongwa hapa na pale,mara oil caps zimeibiwa,vumbi,tope,AC imekufa,nk

    David V

    ReplyDelete
  4. Shija ShekilangoMay 15, 2012

    Ekelege alivonuna mpaka raha walahi! ha ha haaaaa!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 16, 2012

    Hapo ndo amesmile...akinuna huyo panakua hapakariki....kama kala ndimu

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 16, 2012

    Anonymous wa Tue May 15, 10:30:00 PM 2012

    Ek....e alivovuna mpaka raha walahi! ha ha haaaaa!

    Ebo kuanzia sasa kwa Taarifa yako MAJIZI YOTE (Kuanzia Mawaziri 6 waliong'olewa) YATAKUWA YANAWAJIBISHWA NA KUFIKISHWA KWENYE SHERIA!

    HAKUNA FEDHA ZA HARAKA KAMA VODACOM M-PESA NA RAHISI!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...