Mjomba,
habari njema kwa Wanyambala Laxmi Darts Club ya Tukuyu haikirudi mikono mitupu katika mashindano ya Darts kitaifa yaliyofanyika mji kasoro bahari, Morogoro baada ya mshiriki wa kike bi Mawazo Adam kurudi na kikombe cha ushindi wa kwanza kwa upande wa kina mama. Pichani Mawazo kikabidhi kombe nyumbani Tokyo. Na picha ya peke yake ni Mawazo mwenyewe akiwa na kombe.

Mjomba Juma
Tokoyo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...