Msanii Ambwene Yesaya au ukipenda AY (pichani) , anatarajia kuwa jukwaani mwisho mwa wiki hii(Jumapili) nchini Afrika Kusini wakati wa Eviction ya washiriki wa Big Brother Africa(BBA)-Star Game.

AY anakuwa msanii wa pili kutoka Tanzania kupata nafasi ya kutumbuiza nchini humo wakati wa BBA baada ya Diamond kufanya hivyo wiki chache zilizopita. Lakini hii si mara ya kwanza kwa AY kupanda jukwaa katika Big Brother Africa kwani aliwahi kufanya hivyo mwaka 2009.
Unaweza kuangalia show ya AY Live wakati wa eviction kupitia DSTv


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 14, 2012

    HII STYLE YA KUVAA SHATI COLLAR UNANINGINIZA NJE MBONA NIYA ZAMANI SANA MICHUZI BADO TU AY HAJUI MPE MBINU ZAKO ZA NJE YA NCHI MWONESHE JINSI YA KUVAA, NI COMMENT TU

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 14, 2012

    Fashion is just like the air we breath.It is recycled.
    Dr Gangwe Bitozi.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 14, 2012

    Mdau wa Kwanza, kupitwa kwake kimavazi ninavyoona tatizo la AY linakuja kwa ile hulka yake ya kutokuwa na misafara ya mara kwa mara ya kwenda Majuu ukilinganisha na wenzeke hata hawa wa siku za karibuni hapa ingawa amekuwa ktk Gemu kwa muda mrefu sana!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...