Wadau katika Sinema That's My Boy, ambayo imetoka kwenye theaters wiki hii, mimi nilikuwa Stand In wa Luenell ambaye anaigiza katika hii sinema kama Champale ambaye ni Stripper (mvuo nguo).    Champale nimama mtu mzima anayepnda kutembea na matiti nje.  Matiti amabyo mnaona ni feki.  Kazi ya Stand In ni kuhakikisha kuwa mwanga, microphone nk. ziko sawa kabla ya Stelingi kuingia kufanya kazi yake. Kila kitu ambayo utaona kafanya Luenell, nilifanya mimi kwanza.  Wali-shoot mwaka jana katika sehemu mbalimbali za Massachusetts. 

 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 21, 2012

    Hongera Da Chemi, taratibu utafika!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...