Kushoto mwenye suti nyeusi ni Mh. Mustapha Akunay (Executive Secretary wa Tanzania association of tour operators) na Naibu waziri wa maliasili na utalii Mh. Nyalandu katika viwanja vya maonyesho jijini Arusha.
Kushoto mwenye suti nyeusi ni Mh. Mustapha Akunay (Executive Secretary wa Tanzania association of tour operators) na Naibu waziri wa maliasili na utalii Mh. Nyalandu katika viwanja vya maonyesho Arusha leo, akiwa na Wafanyakazi wa Karibu Travel and Tours.
 Naibu waziri wa maliasili na utalii Mh. Nyalandu katika viwanja vya maonyesho Arusha leo akipiga picha na wafanyakazi wa KARIBU FAIR.
Kwa mapicha ya kumwaga BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 10, 2012

    Wewe Michuzi, Lazaro Nyalandu kawa dokta tangu lini?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...