Mchekeshaji wa maarufu nchini kutoka kundi la Vuvuzela Entertainment,Evans Bukuku akifanya vitu vyake usiku wa kuamkia leo kwenye shoo yake ya kina jumanne ya mwisho wa mwezi iliyofanyika kwenye kiota cha Nyumbani Lounge,Jijini Dar esa Salaam.
Hapa akiimba moja ya nyimbo zake za vituko ambayo ukiisikiliza waweza pasuka kabisa kwa kucheka.
Dogo pepe nae akikaa stejini lazima ukae,maana nae ni mkali sana wa kuvunja mbavu.
Enika nae ndani.
Wazee wa Kazi wakiwajibika.
over-employment
ReplyDeleteungetuwekea clip japo tumuone na kumsikia ingekuwa poa sana michuzi kwa sisi wadau wa njee ya nchi
ReplyDeletemdau new york