THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

IRINGA WAMLILIA MOSES HANS POPE, WENGI WAJITOKEZA KUMZIKA


Familia ya  marehemu Moses Has Pope  aliyefariki Juni 7, 2012 wakiwa katika picha ya pamoja baada ya shuguli ya mazishi katika makaburi ya Mkanyageni katika manispaa ya Iringa. Picha na Francis Godwin
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA


Kuna Maoni 6 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  Ni yule alokuwa jeshini those days; Airwing??

 2. Anonymous Anasema:

  Poleni sana wafiwa.
  Samahani kwa anayejua; Hivi familia hii ndio ya marehemu aliyekuwa mkuu wa Polisi mkoani Kagera, aliyeuawa na majeshi ya Idd Amin kwa kisingizio kuwa ni Jasusi wa Kichina?

 3. Shabby Anasema:

  Ndio huyo,baba yao aliuwawa na Iddi Amini na alihifadhiwa kwenye friji mpaka tulipoigomboa kagera mwaka 1979 ndipo tuliukuta mwili wake kwenye fridge na tukaurudisha nchini kwa maazishi

 4. Thomas ndonde Anasema:

  Moses tutakukumbuka kwa ukarimu upole na huruma mwenyezi mungu ailaze roho yako mahali pema peponi

 5. Anonymous Anasema:

  Hapana huyo ni mdogo wake aliyekuwa airwing ni rubani Capt Harry hans poppe, pia ni mdogo wa zakaria hans poppe gwiji la mafuta na rafiki wa simba club.

 6. Anonymous Anasema:

  Moses Mola akurehemu.