Familia ya  marehemu Moses Has Pope  aliyefariki Juni 7, 2012 wakiwa katika picha ya pamoja baada ya shuguli ya mazishi katika makaburi ya Mkanyageni katika manispaa ya Iringa. Picha na Francis Godwin
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 11, 2012

    Ni yule alokuwa jeshini those days; Airwing??

    ReplyDelete
    Replies
    1. AnonymousJune 11, 2012

      Hapana huyo ni mdogo wake aliyekuwa airwing ni rubani Capt Harry hans poppe, pia ni mdogo wa zakaria hans poppe gwiji la mafuta na rafiki wa simba club.

      Delete
  2. AnonymousJune 11, 2012

    Poleni sana wafiwa.
    Samahani kwa anayejua; Hivi familia hii ndio ya marehemu aliyekuwa mkuu wa Polisi mkoani Kagera, aliyeuawa na majeshi ya Idd Amin kwa kisingizio kuwa ni Jasusi wa Kichina?

    ReplyDelete
  3. Ndio huyo,baba yao aliuwawa na Iddi Amini na alihifadhiwa kwenye friji mpaka tulipoigomboa kagera mwaka 1979 ndipo tuliukuta mwili wake kwenye fridge na tukaurudisha nchini kwa maazishi

    ReplyDelete
  4. Thomas ndondeJune 11, 2012

    Moses tutakukumbuka kwa ukarimu upole na huruma mwenyezi mungu ailaze roho yako mahali pema peponi

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 11, 2012

    Moses Mola akurehemu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...