Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Naibu Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia na Mbunge Bumbuli, January Makamba (katikati) na Mbunge wa Singida, Mohamed Dewji (kulia) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Simanjiro,Christopher Ole Sendeka (kushoto) na Mbunge wa Viti Maalum Ester Bulaya kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo.
Naibu Waziri wa Kazi na Ajira Dkt. Makongoro Mahanga(kushoto) akibadilishana mawazo na Mbunge wa Jimbo la Msalala Ezekiel Maige wakati wa mapumziko ya mchana ya Bunge la Bajeti linaloendelea mjini Dodoma.
Baadhi ya wabunge wa Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakijaza fomu za vitambulisho vya Taifa leo katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda (katikati) akibadilishana mawazo na Mbunge wa Simanjiro,Christopher Ole Sendeka (kushoto) na MBUNGE wa Same Mashariki, Anne Kilango Malecela (kulia),wakati wa mapumziko ya mchana ya kikao cha Bunge la bajeti linaloendelea mjini Dodoma leo.
Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda(kulia) akibadilishana mawazo na Mbunge wa Simanjiro,Christopher Ole Sendeka (kushoto) wakati wa mapumziko ya mchana ya kikao cha Bunge bajeti linaloendelea mjini Dodoma.
Mbunge wa Mbeya Mjini,Joseph Mbilinyi (SUGU) akibadilishana mawazo na Mbunge Mwenzie kutoka Jimbo la Kigoma Kaskazini,Zitto Kabwe wakati wa mapumziko ya mchana ya Bunge la Bajeti linaloendelea mjini Dodoma.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu/Tiganya Vincent- MAELEZO-Dodoma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 22, 2012

    Haya wa-Bunge wetu, jiandaeni ili kufikiria kwa makini yatakayojitokeza kwenye mkutano huu:

    Gastech Specialist Events Launches the East Africa Gas Forum

    Recent discoveries and the potential for gas monetisation, as well as the high probability of investment in infrastructure to support LNG exports, have meant that East Africa is a game changer for the global gas market. The opportunities for economic and social development in the region and for international organisations keen to invest in the region are potentially enormous.

    Gastech Specialist Events is delighted to announce the launch of its East Africa Gas Forum, to be held in Dar es Salaam, Tanzania on 5-7 September, 2012. The Forum is supported by the Tanzanian Ministry of Energy and Minerals and will focus on the strategic, commercial, and geopolitical issues underlying the development of major recently discovered gas resources within the region, what impact they will have on the domestic market, and the strong potential for LNG export.

    Speakers include government officials, IOCs, NOCs, investors, and other leading experts who will be integral to shaping the development of projects. Topics discussed will include:


    The commercial potential for East African gas on the global market
    Focused sessions on key countries, including: Tanzania, Mozambique, Uganda, Rwanda, and Kenya
    Understanding the commitments of regional governments, considerations when doing business within East Africa, taxation, and overcoming challenges of market entry
    Gas infrastructure: getting gas resources to the buyers ­ pipelines, LNG terminals, general infrastructure
    The cost of securing assets offshore, political risk, and potential ROI
    The region’s energy requirements ­ how gas will be used domestically -- updates on regional gas-fired power projects and the impact of predicted economic growth

    Confirmed speakers to date include:

    Nelson Ocuane, Chairman, ENH
    Alfred D. Byigero, Director-Energy Regulation, RWANDA UTILITIES REGULATORY AGENCY
    Chris Ford, Managing Director, SONGAS
    Eugene Okpere, General Manager Global Exploration, SASOL
    Ali Abdullahi, Special Advisor, Prime Minister and Cabinet on Energy, Infrastructure, Water, SOMALIA TRANSITIONAL FEDERAL GOVERNMENT

    To learn more about how your organisation can promote its expertise to key industry leaders operating in the region, contact Michelle Thorby on +44 (0)20 3615 2875 or michellethorby@dmgevents.com
    View the full programme at www.eastafricagasforum.com

    For additional information about the programme, press enquiries, or to become a media partner, please contact Anthony Webb on +44 (0)203 180 6533 or email anthonywebb@dmgevents.com

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 23, 2012

    Mdau Mtoa maoni wa kwanza umenena na umetoa taarifa ya muhimu sana.

    WHeshimiwa Wabunge wetu na Maafisa wa Serikali wawe makini sana ktk Kikao hiki kwa kuwa sisi Tanzania na hii Gas yetu tunagombewa kama mpira wa kona.

    1.Wasimamizi wetu wajitahidi sana ktk Kikao hiki kikijadiliwa wawe makini na kisiwe ni kikao cha kunywa chai, soda na kutafuna vitafunio.

    2.Wasiuchape usingizi wakati wa kikao.

    3.Watoe maaziomi yenye tija kwetu Tanzania.

    4.Licha ya EXTERNAL-INTERNATIONLA MARKET kwa kuwa hatuna infrastructure ,tujitahidi Kuunda infrastructure (GAS PIPELINES) ACCROSS EAC (Rwanda,Uganda,Burundi,Kenya na Tanzania nzima ili Gas ituingizie mapato DOMESTICALLY.

    TUKIITUMIA VIZURI GAS NAFASI YETU KIUCHUMI ITAIMARIKA NA TUTAKUWA TUMEPATA SULUHISHO LA KUDUMU.

    Ili kukabiliana na matatizo kama
    -Economic Inflation inayoletwa kwa kutegemea Uchumi wa Mafuta.
    -Environmental degradation, uharibifu wa mazingira kwa kukata mkaa
    -Climate change, mabadiliko ya hali ya hewa yanayo chochea njaa na umasikini.
    -Dicliing Currency, Kshuka kwa thamani ya Shilingi dhidi ya Dollars na Fedha zingine za Kigeni.
    -Rising Food and energy Prices, kupanda kwa gharama za vyakula mfumuko wa bei na gharama za nishati vitu vinavyozalisha maisha magumu kwa watu na kuongeza umasikini nchini.

    GAS NDIO MKOMBOZI WETU:

    Tuitumie nafasi hii kwa kuwa haya matano (5) hapa chini ndio Dira ya Mkutano huo wa Gas hiyo September wakati sisi Watanzania ndio wahusika wenyewe tukiwamba ngozi inatubidi tuvutie kwetu,

    1-TUIMARISHE MASOKO YA HISA NA MITAJI.

    2-TUJENGE SERA BORA YA RASILIMALI HII NA ZINGINE ILI KUNUFAIKA NAYO.

    3-TUWAPE WANANCHI UMILIKI WA RASILIMALI HII KWA NJIA YA HISA NA MITAJI KTK MASOKO ILI IAKISI MAISHA BORA KWA WANANCHI NA KUTOKOMEZA UMASIKINI.

    4-TUWAPE NAFASI NA NDUGU ZETU MADIASPORA NJE YA NCHI KWA KUWA WAO NI WADAU MUHIMU PIA KTK HILI.

    TUNAWAHITAJI WANASTAHILI NA SISI WANATUHITAJI.

    5-TUPANUE WIGO WA MAUZO YA HISA NA MITAJI HII YA GAS NJE YA NCHI ILI KUKUZA MAPATO NA UKUAJI WA UCHUMI WETU.

    PAMOJA TUIJENGE TANZANIA !

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...