Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid Mohamed (kushoto) na Mbunge wa Viti Maalum, Leticia Nyerere kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimina na Mbunge wa Dole, Sylvester Mabumba kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Mbinga Mashariki Gaudence Kayombo, kwenye jengo la utawala la Bunge Mjini Dodoma leo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wawekezaji katika sekta ya madini mkoani Mara kutoka kampuni ya Gemini Corporation ya Urusi baada ya kuzungumza nao, Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma leo. Kushoto ni Mwenyeji wao , Mbunge wa Viti Maalum Zainab Kawawa.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wawekezaji katika sekta ya madini mkoani Mara kutoka kampuni ya Gemini Corporation ya Urusi baada ya kuzungumza nao, Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma leo. Kushoto ni Mwenyeji wao , Mbunge wa Viti Maalum Zainab Kawawa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 27, 2012

    hiyo ya picha ya kwanza, nadhani ni ya uchokozi
    teh teh teh teh teh
    mtoto wa mkulima nae wamo lol

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 27, 2012

    Mwendo ni kila mtoto wa kiongozi ni kuchukua chako bado mapema. Wenyeji huu mhh

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 27, 2012

    We Leticia, vua miwani bwana ukiwa na watu wa heshima! Hiyo ni miwani ya jua tu na haipendezi kuendelea kuwa nayo unapokuwa na wakubwa, isitoshe PM! Hata hao mnaowaiga huwa wanavua wakiwa wapo na watu wengine. Acheni ushamba jamani, na muwe na nidhani kwa wakubwa!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 28, 2012

    Picha ya juu kabisa imetulia....Tehe!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 28, 2012

    Liwalo na liwe!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...